Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,929
- 27,173
Mkuu usifananishe Chelsea na hawa watotoNakutakieni droo tu leo, ili niendelee na hesabu zangu za Arsenal jumlisha United points ni less than Liverpool's points.
Au nachukua Arsenal 31 + Chelsea 41 napata 72. Liverpool ana 73.
HahahaaaHahahahawale wa mkopo? Mmoja ametoka south akapitiliza moja kwa moja hospital. Report za madaktari zinasema anaweza kukatwa mguu
Sent using Cash Money Wings
Hahahaaa.. Eti KinyesiUkiangalia mpira wa Totteham vs Man City sisi Arsenal ni kinyesi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa wengi tunajua tunaanza upya next season ila shda nayoiona ni kuwa tumepishana point 6 pekee na Aston Villa ya 17 sasa na tabia hii ya sare sare na kiwango kushuka ni tatizo kwa EPL inabidi dawa itafutwe mapema sana hao ambao wapo chini ni wabaya sana mechi za mwisho na wengi hatujacheza nao na kuna ambao wanagombania top 4 pia bado hatujacheza nao ni hatari sana kwa timu mwanzoni hatukutegemea Leo mambo yatakuwa hivi ila kadri muda unavyoenda tusipobadilika na dawa kutafutwa mapema tutapishana point 3 na NorwichUsiwe na expections kubwa mkuu. Huu msimu tuliyumba sana kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje. Hakuna quick fix kwenye mpira.
Umesahau mashabiki walikuwa wanazomea wachezaji, nidhamu ilikuwa mbovu kupitiliza.
Tumpe lengo Arteta la kuingia msimu ujao salama. Aendelee kujenga timu. Msimu huu tuwe tayar na matokeo yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi najua Ceballos anauwezo kuliko Willock, wala sijapinga!.. Ila hija yangu ni kwamba kwa sasa mimi na wewe hakyna anaejua kiwango cha Ceballos kama ni kile tunachokihua au kashuka! Anaejua ni kocha na benchi lake la ufundi!.. Kwa kuwa sijui kinachosababisha anamuweka Ceballos benchi, itoshe kusema tu kocha kaona bado aendelee kukalia hilo benchi!.. Vipi kocha akimuanzisha halafu akaboronga kuliko hata Ozil, si tutaanza kulalamika hapa kuwa bora Ozil! Ninachoshauri ni kuwa tumuache kocha afanye kazi yake akiboronga atatimuliwa.. Kwa upande wa pepe bado ni kweli pepe ana kiwango hasa akiwa kwenye kiwango chake!.. Lakini kweli wewe hujui kuwa hao wanacheza position tofauti? Pepe ni winger na dogo ni Center forward, sasa sijui ulitaka pepe aingizwe aende akipige pale mbele, hapo mimi sijakuelewa!.. Bora ungelalamikia kitendo cha Martinell kucheza wing ya kulia, au ungesema pepe angeanza kulia, Auba kati na dogo akae pale kushoto!.. Lakini kwa kesi ya Nketia ni tofauti kidogo!.. Kocha alimwingiza Nketia ili kuforce goal maana kiuhalisia pale mbele kulikuwa na Auba, Laca, Martinell ambao wote ni washambuliaji nguli, sasa Lacazete kaflop na zimebaki dakika tano, sasa kama kocha unafanyaje? Unamtoa forward unaingiza forward! Huwezi kutoa forward halafu unaingiza Winger na unahitaji kushinda mechi!.. Kwa hiyo nia ya kocha ilikuwa njema!. Kwa kweli inakatisha tamaa, lakini titafanyaje na hao ndio wachezaji tulionao!.. Poleni wana Gunners lakini tusikate tamaa maana tuko kwenye transition, naamini timu itakaa vizuri soon!...
Sent using Jamii Forums mobile app
3doors on his best...NA LEO MTAIPATA, KUNA RED CARD TENA HAPA..TOREIRA NA XHAKA WANA YELLOW KUNA YELLOW YA PILI INAKUJA...pambaf
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe Otimbi ,mimi Na timbilioMILANGOMITATU NJOO HAPA UWASUTE.
Sent using Cash Money Wings
Cash Money Wings hahahaha unasalimiwa na Phil JonesLacazette linagaragara chini kama linguruwe pori limechomwa mkuki wa shingoni.
Sent using Cash Money Wings
Yule jamaa anayeandikaga herufi kubwa huwa anapondwa kweli ila ndo msema ukweli humu kundini. Yeye ndo anaelezea ukweli halisi wa timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo katika vilaza ongezaUkiwaita watoto unawapa sifa kubwa.
WATOTO
1. Haaland - 19 Yrs
2. Ansu Fati - 17 Yrs
3. Sancho - 19 Yrs
4. Rodrigo - 19 Yrs
VILAZA
1. Willock - 20 yrs
2. Guenduz - 20 yrs
3. Kieran - 22 yrs
4. Nketiah - 20 yrs
5. Nelson - 20 yrs.
Sent using Cash Money Wings
Tusi liko wapi hapo ndugu yangu?
Kama wewe unavyoenda kuushika ukuta wa mererani hivi karibuni.Sure. Mpira una mambo mengi, Arteta amekuja kujenga timu, mashabiki mnawaza kuingia top 4. Timu imeshajengeka sasa?
Msije na plan zenu za mfukoni. Arteta amekuta timu inakata roho, ghafla mnataka Mambo makubwa kwa muda mfupi. Timu haijengwi kwa mwezi mmoja wazee
Kwa sasa kuweni bega kwa bega na Arteta nafasi zipi zifanyiwe marekebisho, nani asajiliwe, nani auzwe na atolewe kwa mkopo. Mfocus kwenye plan za msimu ujao.
Timu imejaa matakataka mnataka kwenda UCL kwahiyo mnataka tena mkashikishwe ukuta na bayern munic.
Sent using Cash Money Wings
Umejuaje?Nimewafuatilia.... Two different people
Nimeelewa hoja yako kaka!.. Ngoja tusubiri tuone hii mechi inayofuata hali itakuwaje!Kwa uelewa wangu licha sio kocha Pepe alitakiwa aingie dk hata ya 60 then laca aende nje na AUBA angekaa centre pepe kulia martinelli kushoto hili lilitakiwa lifanyike mapema sana
Nketiah jana hakustahili kuingia then pepe awe nje kama nlivyooanisha hapo juu Sema ARTETA kwa hili inabidi ajirekebishe la sivyo mambo yatakuwa magumu EPL kwa upande wa mashabiki na yeye mwenyewe cha kushukuru bado tupo top 10 ila tungepigwa jana nakwambia hata hizi kauli zingebadilika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Neville, henry sijui scholes na wenzaoHalafu wale wanaotimuliwa wako hodari mno kuponda na kujifanya wanajuwa analyze ile mbaya...
Labda... Ila sijaangalia hichoUmejuaje?
Usije ukadanganyika na muda wa kucreate hizi ID's maana kuna watu wana multiple ID inakaribia decade
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kitu kingine ambacho nakiona na hiki ni Wachezaji wenyewe ndo wanatakiwa kukifanya na kukiondoa ni kuwa sasa hivi tuna udhaifu mkubwa sana wa kimwili na kiakili kwa wachezaji na bahati mbaya sijui kwa nini wanashindwa kufight kuepukana na hali hii na NEWCASTLE na EVERTON wametupania wanajua huu muda timu imeyumba watakuja na spirit ya ajabu kama tutashindwa kupambana na kusema we are ARSENAL sisi ni BIG club itatuwia vigumu sana kupata matokeo mfano wapinzani wetu wote ni wachovu kama Mancity nae ni yule yule ndo maana kafungwa game 6 kama sisi ila utofauti wao na sisi wao huwa wanapambana na akianza kukufunga hutoki ila sisi karibia mechi 4 za EPL ukiacha ya CHELSEA ya marudiano chini ya ARTETA unakuta tunaongoza goli 1 ila mechi inaisha sare hapa ni Wachezaji kutambua thamani yao ila kila nkiangalia sijui kama watakuja kubadilika ngoja tusubiri hizo 2 next matches zinazokujaNimeelewa hoja yako kaka!.. Ngoja tusubiri tuone hii mechi inayofuata hali itakuwaje!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwapa updates za mlio wasajiliNyie mlikuja kufanya nini kule kwetu tulipotoa draw?
Sent using Cash Money Wings
Mimi sinaga hizo mambo we mwenyeweA unajua mimi mvua jua nipo hapa ,jana nlikuwa na ratiba ngumu tu....hizo tabia za kukimbia uzi zipo sana pale kwenu...