Lyaule Kitundu
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 758
- 1,030
Bado nasubir jibu
Willock na Lingard wana bahati sana Mungu akiamua kukupa bahati anakupa tu yaaniBaada ya Game na Burnley timu itasafiri kwenda Dubai kwa mapumziko,tulio karib na hapo Dubai nendeni chap mumshtue Willock kwamba akaze mtot wa kiume anachochez hata hapa bongo kipo akaze tujue kazaliwa kwenye teknolojia.
Ikumbukwe tangu Arteta kachukua tim kumekuw na busy schedule kwan ikitoka hii inaingia game so nadhan hzo wiki2 zitamsaidia sana kuweka vitu vyake hasa philosophy zake.
Amewatahadharisha wachezaj no one is safe kama hatameet standard zake.
Go On Arsenal
Haya ndio mambo tunayoyataka, sio mchezaji akitolewa anarusha mikono kwa hasira.ARTETA: NAHITAJI USHINDANI WA WACHEZAJI WAWILI HADI WATATU KWA NAFASI MOJA
“This club needs competition of two or three players in each position to fight. If they are able to fight and compete and they are better than the other ones, they will play. If not, someone else will play.''View attachment 1342916
Kesho ushindi ni lazima naona tutasogea hadi namba 9 apoGuys tusiposhinda kesho hali ni mbaya. 12th? Daaamn!!View attachment 1343700
Kesho tutashinda bila shakaGuys tusiposhinda kesho hali ni mbaya. 12th? Daaamn!!View attachment 1343700
Kesho tukishinda , matokeo ya man u na wolves yakibaki sare ,Guys tusiposhinda kesho hali ni mbaya. 12th? Daaamn!!View attachment 1343700
Hizi mechi 3 ni point 9 tukifeli ni point 7 hakuna visingizio tena otherwise kuna watu wakiwa karibu wakituharibia kubeba hizo points watatakiwa kupigwa makofi ya usoni na mazito kwa sasa timu ishajijenga hii timu kama haitashinda hata mechi 2 katika 3 itabidi twende Highbury tukachomoe vitu ambavyo Maadui zetu walifukia kiwanjani yaani haitawezekana tupate DROO kipumbavu tena hovyo hovyo hapana kwa kweliKesho tukishinda , matokeo ya man u na wolves yakibaki sare ,
Kutokana na fixture ilivyo baada ya mech 3 tutaongea mengine
Msimamo usikutishe wengi wamefungana point
Kesho tukishinda mtu wa 5 atakuwa katuacha point 3
Then Chelsea aliye nafas ya 4 ana fixture tata pamoja na man u
Sahihi kabisa had sasa Nadhan Arteta amesha implement mbinu kwa kiasi kikubwaHizi mechi 3 ni point 9 tukifeli ni point 7 hakuna visingizio tena otherwise kuna watu wakiwa karibu wakituharibia kubeba hizo points watatakiwa kupigwa makofi ya usoni na mazito kwa sasa timu ishajijenga hii timu kama haitashinda hata mechi 2 katika 3 itabidi twende Highbury tukachomoe vitu ambavyo Maadui zetu walifukia kiwanjani yaani haitawezekana tupate DROO kipumbavu tena hovyo hovyo hapana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app


Sema kweny picha Laccazete alitisha sana ikiangaliwa kwa mbele....Arsenal kumuongezea mshahara Mara 3 kinda Gabriel Martinel mwishoni mwa msimu ,
Madrid wanamuwinda kinda huyo ambaye inasemekana wapo tayari kutoa £50mView attachment 1331478