Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,299
- 15,026
Tukazane tusishuke daraja, otherwise msimu huu hakuna popote tutaenda. Inakera sana hii.
Kesho tukishinda , matokeo ya man u na wolves yakibaki sare ,
Kutokana na fixture ilivyo baada ya mech 3 tutaongea mengine
Msimamo usikutishe wengi wamefungana point
Kesho tukishinda mtu wa 5 atakuwa katuacha point 3
Then Chelsea aliye nafas ya 4 ana fixture tata pamoja na man u
Lacazete hamna kitu yule sasa hiviLaccazete sijui ana matatizo gani, anacheza hovyo leo. Anatoa pasi mbovu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo hamna kitu kimefanyikaMipango siyo matumizi.
Droo ya kwanza hii kati ya point 9 mlizo project.
milangomitatu Jamaa namuelewa sana.MILANGOMITATU NJOO HAPA UWASUTE.
Sent using Cash Money Wings
Mechi 2 zijazo ni nyumbani na hapo tusipopata matokeo tunaweza tukajikuta wa 17Tukazane tusishuke daraja, otherwise msimu huu hakuna popote tutaenda. Inakera sana hii.
Hahahahahahahahah Mabusha.Arsenal ya leo ata ingekutana na Mtibwa ya leo wangekula kichapo..wachezaji wanacheza utafikiri wanaumwa mabusha. Pumbavu zao.
Mwacheni mtu wetu Sema shda yake ana maneno ya kashfa na herufi kubwa ila huwa hasemi uongo timu inazama hii dah hali ni mbaya sanamilangomitatu Jamaa namuelewa sana.
Daahh ****eee hahaha huu msimu tuko vibaya kuliko misimu yote yaani hamna kitu kabisaManina kabisa dah tumeponea chupuchupu halafu cha kushangaza wapinzani wapo vibaya sana sana ila upande wetu sijui niseme tupoje?nashindwa kuelezea ukiangalia nafasi ya 4 kwa chelsea hajashinda mechi 3 mfululizo ila bado tumeshindwa kumkaribia dah Manina kweli
Arteta acha Chuki kwa ceballos na pepe tena ya waziwazi kabisa una hao watu wawili ila kamuona willock na nketiah ambaye hata leeds hakuweza kupata namba ndo wanaweza kubadilisha matokeo ya mechi ambayo tulishazidiwa Leo ndo nimeamini watu wa catalunya wana roho na Chuki Kali akikuchukia utaipata hii game tumezidiwa sababu ya Arteta hata shearer anashangaa timu ina wapambanaji ila Msimu mzima tumeshinda mechi 6 pekee?Norwich na watford ndo timu pekee ambazo zimeshinda mechi chache hadi Aston villa katupita kwa kushinda?dah itabidi twende Highbury tukachomoe vitu ambavyo Maadui zetu walifukia kiwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu fala anajua hamna kitu anaweza kufanya kwaio bora awe anazuga tu akikosa goli ili asiwe analaumiwaLacazette linagaragara chini kama linguruwe pori limechomwa mkuki wa shingoni.
Sent using Cash Money Wings
Kuna mkuu hapo juu kasema mipango sio matumizi na ni kweli aisee huu msimu nafasi ya 10 hatuwez kuikwepaPunguza mahaba kijana, hizo takataka (Ozil, Guenduz, Lacazette), ndio zinakupa kiburi hapa.
Sent using Cash Money Wings
acha wakale maisha tu hakuna namna
Leo hamna kitu kimefanyika
sijui Arteta ameshakubaliana na hali kwamba hamna sehemu timu inaweza kufika kwa msimu huu maana kikosi kilichoanza leo selection ilikua mbovu