Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Yah analazimisha ,Ila taarifa zinasema Deal bado lipo ONPablo Mari skips Flamengo training to force through Arsenal transfer
Yah analazimisha ,Ila taarifa zinasema Deal bado lipo ONPablo Mari skips Flamengo training to force through Arsenal transfer
Tukimpata huyu itakuwa poa sana!.. Nahisi Arsenal wanachelewesha wa Pablo Mari ili wajaribu kumsajili huyu MykolaKUTOKA UKRAINE || Source inaitwa Komanda inaaminika sana , Inaripoti Arsenal imekubaliana na Shaktar Donesk kuhusu Beki anayecheza LB, LCB , RB Mykola Matyviyenko .
Zimebaki details chache kukamilisha deal.
HII BEKI IKITUA TUTAKUWA TUMEFANYA USAJIRI MAKINI SANA View attachment 1338122
Nahisi hata mm hivyo, Huyu jamaa bonge moja la Beki , napenda tu anavyoshambulia ,Tukimpata huyu itakuwa poa sana!.. Nahisi Arsenal wanachelewesha wa Pablo Mari ili wajaribu kumsajili huyu Mykola
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha Kwamba ni mahasimu
Eti ndio sababu Ceballos hapati nafasi sana ROBERTO 20 ya kweli haya?
View attachment 1338097View attachment 1338099
Siunajua bifu za wakatalunya na madristaHaha Kwamba ni mahasimu
Siamini bado ngoja nione mechi zinazofuata.Siunajua bifu za wakatalunya na madrista
Arsenal tuna congestion ya CB isiyokuwa na quality sana kwa sasa. Sijajua Arteta ana plan gani ya kupunguza hii congestion ili kuwafanya wanaokuja watusaidie.Update:
The minor differences between Arsenal and Shakhtar over #Matviyenko January move have been resolved. The London club who are still undecided should make the final call on whether to sign him or Pablo Mari. Full story from Ukraine.
| Based on the latest reports coming from Ukraine and Brazil, it seems that Arsenal will have to choose between Matviyenko and Marí.View attachment 1338335View attachment 1338336
Kuna asilimia kubwa tukampata huyu bwana mdogoArsenal tuna congestion ya CB isiyokuwa na quality sana kwa sasa. Sijajua Arteta ana plan gani ya kupunguza hii congestion ili kuwafanya wanaokuja watusaidie.
So far tuna: Chambers, Holding, Mustafi, Papa Sokratis, Luiz. Bado tuna Saliba anakuja. Hapa lazima tufanye maamuzi magumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha Manchester,watu wana ndoto na London.NEW: Yevhen Konoplyanka, Matviyenko’s teammate at Shakhtar, tells Ukrainian media that the squad is already talking about the links with Arsenal and City, with some teasing the defender and joking that he would end up at Arsenal Kiev.
Konoplyanka:
“It is nice to see him linked with [City and Arsenal]. It would be great if they are interested in him. We already started speculating about #Matviyenko’s preference. Manchester? It has less sunshine and London has more shops. We are discussing this topic.”
What happened???!!Sources have told ESPN Brazil that Arsenal’s move for Pablo Marí has fallen through.
Flamengo were opposed to the terms of #AFC’s proposal. Marí has returned to Brazil after completing a medical in London.
![]()
Sources: Arsenal deal to sign Mari collapses
Arsenal's deal to sign Flamengo defender Pablo Mari has collapsed, sources have told ESPN Brasil.t.co