Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Mlevi huyo




Mlevi huyo




Yupo Dinos pia, hapa nadhani Mustafi yupo kwenye mipango ya Arteta na umri wake unaruhusu piaArsenal tuna congestion ya CB isiyokuwa na quality sana kwa sasa. Sijajua Arteta ana plan gani ya kupunguza hii congestion ili kuwafanya wanaokuja watusaidie.
So far tuna: Chambers, Holding, Mustafi, Papa Sokratis, Luiz. Bado tuna Saliba anakuja. Hapa lazima tufanye maamuzi magumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dino sidhani kama atarudi yule,tatizo ni majeruhi sanaYupo Dinos pia, hapa nadhani Mustafi yupo kwenye mipango ya Arteta na umri wake unaruhusu pia
mtazamo wangu juu ya kipaji hiki
bukayo sana nafasi ambayo amekuwa akicheza kwa asilimia kubwa ata uko youth teams ni winger
lakini kwa sasa bukayo kutokana na team kukumbwa na injury za left back wote, bukayo kawa converted kama left back
haya sio maajabu bali ni tactical changes kwenye playing stlye ya mchezaji makocha wengi wamewahi kufanya hivi
kama united walivyowahi kumtoa valencia kuwa winger mpaka beki wa kulia hvyo hvyo kwa ashrey young bila kusahau conte na victor moses kumfanya wing back
hii kitu inategemea na nature ya mchezaji na pumzi aliyo nayo siku zote full backs asa in modern football wanashambulia pia hii maana ake wanakuwa na ground coverage kubwa kiuchezaji asa wakiwa uko wide
hii kitu ndio bukayo anacheza lakini under tactical approach kwani upewa usaidizi na wengine kucover gape lake endapo akiwa kacherewa kurudi
kasi yake ya kupandisha mashambulizi sio mbovu kuna baadhi ya game alikosa kupiga cross zenye macho ila now kabadilika
mwingereza kipaji cha hale end academy ambacho Arteta anataka kutuonesha ni kizuri sio kwenye nafasi moja tu hata akiwa converted sehemu nyingine
ni future prospect tumpe muda zaidi tuamini mikakati ya mwalimu kuwabadili hawa kuwa na threats kwa wapinzanikasoro we mkuuhata mimi baba yako ni muhuni?naona umekuwa sasa.....
Arsenal line up late £5m offer for Southampton's Cedric Soares as Mikel Arteta aims to bolster defence
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan sio mchezaji huyu? Au sema ww humjui , MTU anacheza EPL hapo hapo na timu ya ureno ya taifa .
Kwakweli,ingawa usajili wa january ni mgumu ila sina imani na hiyo june kama hawa kroenke family watatoa mpunga wa kutosha.....
Chief, ni permanent deal or loan with option to buy? Mana utata ulikuwa hapo.Anaitwa Andre Cury ni Wakala wa wachezaji wengi wakibrazil ni Rafiki mkubwa wa Raul Sanllehi , Ndiye amefanikisha dili la Pablo Mari kuja Arsenal ,ikumbukwe dili lilishakwama na Pablo mari akarejea Brazil baada ya kufanyiwa medical ,
Andre Cury ndiye Alifanikisha dili la Neymar kutoka Santos kwenda barca wakishirikiana na Raul Sanllehi kipindi akiwa Barcelona , dili lililoacha utata mkubwa Barcelona hadi Leo.
Ikumbukwe Flamengo waligoma kumuachia Pablo Mari kwa mkopo wakishinikiza Dili liwe permanent na si vinginevyo,
Raul kamtumia Rafiki yake Andre cury , na dili limekamilika ,Pablo atasafiri Leo kurudi London kwa taratibu za kutambulishwa.View attachment 1339052
Ni loan with option to buyChief, ni permanent deal or loan with option to buy? Mana utata ulikuwa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aje akaze sasa ili achukuliwe mazimaa, kuna muendelezo gani wa habari juu ya Matvienko yule wa Shakhtar?Ni loan with option to buy
Flamengo walibana watuuzie permanent
Imebid Raul atumie Wakala ,na deal imeisha kwa loan with option to buy
Habari mjema sana hii!Ni loan with option to buy
Flamengo walibana watuuzie permanent
Imebid Raul atumie Wakala ,na deal imeisha kwa loan with option to buy