Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,917
- 27,122
Unauluza maswali gani wewe? Kwani na wewe bado upo hapa? Maajabu hayaishiKana kwamba wewe una timu nzuri sana au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauluza maswali gani wewe? Kwani na wewe bado upo hapa? Maajabu hayaishiKana kwamba wewe una timu nzuri sana au?
Daah! Hii dunia kweli tunapita, yaani Kobe Bryant katutoka akiwa na miaka 41 tu, so sad
Acha tu man, inaumiza sana.Daah! Hii dunia kweli tunapita, yaani Kobe Bryant katutoka akiwa na miaka 41 tu, so sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Life's too short!!


we are a jokewaache dharau, unabadilishaje terms wakati mlishakubaliana, Arsenal imefika hatua wanataka kila mchezaji wampate bure.Hawataki kutoa pesa kabisa,yaani hapa bila UEFA tutaangaika sana kwenye usajili.Bora 2021 ifike Dangote achukue timu hii.A Flamengo director said: "I already spoke with Pablo Marí now. We expect him at Ninho do Urubu this afternoon (to start pre season). We had agreed to sell him for a fee, he arrived in London, Arsenal changed (the terms). Flamengo is a serious club."
Arsenal & transfers are something elsewe are a joke
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamefanya kitu cha kipuuzi sana, mtu ameshafanya medical check up then wanabadili terms asee!!waache dharau, unabadilishaje terms wakati mlishakubaliana, Arsenal imefika hatua wanataka kila mchezaji wampate bure.Hawataki kutoa pesa kabisa,yaani hapa bila UEFA tutaangaika sana kwenye usajili.Bora 2021 ifike Dangote achukue timu hii.
Hii timu haipo serious, hakuna vya bure.Wamefanya kitu cha kipuuzi sana, mtu ameshafanya medical check up then wanabadili terms asee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bodi imefanya uhuni wa hali ya juu sanawaache dharau, unabadilishaje terms wakati mlishakubaliana, Arsenal imefika hatua wanataka kila mchezaji wampate bure.Hawataki kutoa pesa kabisa,yaani hapa bila UEFA tutaangaika sana kwenye usajili.Bora 2021 ifike Dangote achukue timu hii.
Tofucus mbele , January wamesema watasajiri loan deals tuDaah hii timu tukubaliane tu tutaendelea kuwa wasindikizaji japo inauma
SABABU WALIZOTOA NI HIZI HAPAHii ndio Arsenal bwana, nakumbuka kipindi cha Wenger tulikuwa tunamtukana mzee kuwa ni mbahili, kumbe babu alikuwa anajitahidi kuficha udhaifu wa club kushindwa kutoa pesa kuleta wachezaji.
We want cheap, we want loans. Ni ngumu kwa soka la sasa kupata cheap, yet the best. Mara nyingi the best goes with a lot of cash.