Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu hao wachezaji wako wa kingereza hakuna kitu kuanzia Willock, Holding, AM na huyo Nketiah uliyekua una msifia.
Ukweli ni kuwa media zinawakuza ila uwezo hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm nazungumzia mech ya Leo ,sio overall

Leo willock, Nketiah ,saka wamecheza vizuri sana

Hata Matteo ndio kakichafua balaa


Mm mchezaji akicheza vzr nitamsifia ,akivurunda nitamsema


Kama willock sijawahi kumkubali ,ila Leo magoli yote mawili katoa Pre assist
 
Mkuu kuna watu humu wamefunga macho na kuziba masikio hawataki kuona wala kusikia ukweli ukiongelewa.

Mfano inshu ya CBs leo wamecheza wote kasoro Luiz, ila unaona kabisa tunatakiwa tuongeze CB mwenye uzoefu. Ila humu watu wanadai CBs tulionao wanatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anayesema wanatosha huyo anakosea


CB analetwa


Pablo mari anarud London , taarifa mpya ni hiyo
 
Arteta said we’re working on 1-2 signings 🅿️1⃣ on Twitter
IMG_20200128_013657.jpeg
IMG_20200128_013654.jpeg
 
Saka on his partnership with Martinelli:


“We train a lot together, we speak a lot so we’re good friends. Every time, we’re speaking about how we’re going to beat the defenders & get in behind & score goals!” #afc
IMG_20200128_014325.jpeg
 
Arteta

“We had a clear intention of what we want to do in the market and if we can do it, fine.”
IMG_20200122_023753_144.jpeg
 
Bukayo Saka on 22 passes in the build-up to his goal:


“Mikel is trying to bring back the philosophy, the Arsenal passing way & I feel we played really good football in the first-half.” #afc
IMG_20200128_014849.jpeg
 
Only Martinelli (13) and Aubameyang (17) have provided more direct goal contributions for Arsenal than Saka this season (9).

A total of three goals and six assists for the 18-year-old.
IMG_20200124_211025.jpeg
 
Mkuu toka Holding atoke injury hajawa yule tunayemjua, amepoteza ubora, kujihamini pia hana mechi fitness. Kwa hali tuliyonayo sasa tunahitaji CBs aliye mzoefu atakayeleta impact .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu lakini ubora wake wa asili bado upo pale pale na hatuwezi muhukumu kwa reason hiyo. With time atakaa sawa tu
 
Back
Top Bottom