Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,307
Kuna tuhuma humu ww ni milangomitatu
Alafu acha kushangilia mazoezi hayo, timu iliyo League one unashaghilia wakati round inayofuata upo na Man City.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tuhuma humu ww ni milangomitatu
Daah!.. Huyu jamaa katutesa sana hapa!.. Afadhali sasa hivi karudi huko kwao man u!Kuna tuhuma humu ww ni milangomitatu
Alafu acha kushangilia mazoezi hayo, timu iliyo League one unashaghilia wakati round inayofuata upo na Man City.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii timu inapewa odd tano dhidi yenu!!! Hatari sana.
Upo sahihi kabisa wala hujakoseaPablo Mari ana mazuri yake;
Yupo vizuri hewani, ana physique, ana piga pasi za uhakika, anajua kusoma mchezo.
Ubovu wake ni kutokua na kasi na hii kwa EPL ni muhimu. Hope Arteta atamtumia vizuri na kum-transform.
Kwangu mimi naona ni usajiri mzuri kulingana na mazingira ya dirisha hili, ni bora kuwa na backup kuliko kukosa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini amekuwa flop sana AMNaona Arsenal wanakaza kwa Lemar, mazungumzo yanaendelea. Tukimpata huyu mwamba mambo yatakuwa murua kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
spirit
photos
More images from today's training session
Bergkamp - 7.5m flopped in Italynimemuangalia kweny game hyo hyo vs liva yuko kama per martesacker ni mzur kwa mipra ya juu ila mzito sana yuko slow kama pique
Sent using Jamii Forums mobile app

Style ya uchezaji wa Atletco na Arsenal ni tofauti.. Sitegemei akija Arsenal eti ataflop.. Arteta mpaka kamuhitaji ameshaona atamtumia namna gani!Lakini amekuwa flop sana AM
Anacheza LW au CAM, ina maana Ozil hana chake hapo au?Style ya uchezaji wa Atletco na Arsenal ni tofauti.. Sitegemei akija Arsenal eti ataflop.. Arteta mpaka kamuhitaji ameshaona atamtumia namna gani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Ni Simeoni Habadiliki au tatizo nn ,hata Joao Felix kapoteanaStyle ya uchezaji wa Atletco na Arsenal ni tofauti.. Sitegemei akija Arsenal eti ataflop.. Arteta mpaka kamuhitaji ameshaona atamtumia namna gani!
Sent using Jamii Forums mobile app
LW na CM , mbelen tukipata LW , naona Arteta anataka acheze 4-3-3 , Sasa ukiwa na Ozil huwez kucheza 4-3-3 ,Anacheza LW au CAM, ina maana Ozil hana chake hapo au?
Nadhani atacheza zaidi kama CAM, kumbuka Sasa hivi tuna Ozil na Willock, ikitokea mmoja hapo kapata injury itakuwa shida sana. Kimsingi kwa sasa tuna kikosi kifinyu sana, kwa hiyo ataxheza tu, iwe LW au CAMAnacheza LW au CAM, ina maana Ozil hana chake hapo au?
Kana kwamba wewe una timu nzuri sana au?
Ebu toa uchafu huu..
Spot on..Bergkamp - 7.5m flopped in Italy
Vieira - 3.5m kid, sat on AC Milan bench
Anelka - 500k unknown kid
Ljungberg - 4m unknown from Swedish Farmers side
Wonder what would have been said at the time of theses transfers on social medias ?
Give Mari a chance, history has taught us that.