Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jana niliangalia game ya Valencia na Barcelona beki wetu wa zamani Gabriel was superb, alifanya interception na kuokoa magoli mengi sana, pia alifunga goli lililokataliwa bila sababu ya kueleweka.

Sijui ni game ya jana tu, ila alikuwa na kiwango kuliko beki yetu yeyote ya sasa.
Pia kiungo wetu Coquline alikuwa kwenye ubora mzuri sana akishirikiana na Kondogbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Coquelin siwezi mzingatia sana, ila Paulista walimuuza lakini hakukuwa na udhaifu wa kushindwa kumvumilia,mbona Mustafi anavumiliwa!!.
 
Jana niliangalia game ya Valencia na Barcelona beki wetu wa zamani Gabriel was superb, alifanya interception na kuokoa magoli mengi sana, pia alifunga goli lililokataliwa bila sababu ya kueleweka.

Sijui ni game ya jana tu, ila alikuwa na kiwango kuliko beki yetu yeyote ya sasa.
Pia kiungo wetu Coquline alikuwa kwenye ubora mzuri sana akishirikiana na Kondogbia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mpaka muda huu sijui ni kwa nini lile goli lilikataliwa and corner retaken. Sikujua kama hispania bado kuna marefu wapumbavu
 
......kwema humu?
Humu kwema kabisa, toka tukufukuze timu yetu ina cheza mpira unaoeleweka, tuna first eleven na sub zinazojulikana. Tunapata matokeo hata mechi za ugenini, tumefufua winning mentality na kujenga umoja ulioubomoa.
Changamoto yetu kubwa tunayoikabili ni kubadilisha sare tunazopata kuwa ushindi.

Shame on you Unai Emery kutuharibia timu yetu na hii laana haitakuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pablo Mari anamalizia


Sehemu ya mwisho ya vipimo vyake vya afya asubuhi hii


Kesho will be announce
IMG-20200125-WA0013.jpeg
 
Arsenal and Everton are battling to sign Real Madrid midfielder James Rodriguez on loan before the January transfer window shuts. (Mirror)
 
Hector Bellerin on The FA Cup:


“The FA Cup is close to my heart personally, but also the club’s – it is a competition every Arsenal fan wants to win every season and we have a chance to do so this year.”
 
Kwahiyo sio kwamba anarudi kucheza
Yeye mwenyewe Carzola Kasema anatamani kabula hajatundika daluga apate japo mechi moja acheze pale Emirates ili awaage mashabiki. Anasema anajisikia vibaya kwa kuwa aliondoka bila kuwaaga mashabiki.. Huyu ni miongoni mwa wachezaji wanaoipenda sana Arsenal..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimemuangalia kweny game hyo hyo vs liva yuko kama per martesacker ni mzur kwa mipra ya juu ila mzito sana yuko slow kama pique

Sent using Jamii Forums mobile app
Pablo Mari ana mazuri yake;
Yupo vizuri hewani, ana physique, ana piga pasi za uhakika, anajua kusoma mchezo.

Ubovu wake ni kutokua na kasi na hii kwa EPL ni muhimu. Hope Arteta atamtumia vizuri na kum-transform.

Kwangu mimi naona ni usajiri mzuri kulingana na mazingira ya dirisha hili, ni bora kuwa na backup kuliko kukosa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom