Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nimeangalia crip zake uyo jamaa daaah ki ukweli hamna beki humo jamaa ni mzito hana stamina speed rate 0 bora mustafi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Siokweli ,

Hata Martinel mlisema hivo hivo,

By the way Pablo Marin on a 6 month loan deal w/ option to buy is sweet. If he plays shit, send him back to Flamengo. If he does well, sign him in the summer. It’s a win win
 
nimeangalia crip zake uyo jamaa daaah ki ukweli hamna beki humo jamaa ni mzito hana stamina speed rate 0 bora mustafi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mara hii umeshaanza kum criticize mgeni? Me nadhani hadi timu imefikia hatua ya kumnunua Pablo nadhani kuna kitu potential walichokiona.

We are Gunners forever ✌🏻✌🏻
 
Siokweli ,

Hata Martinel mlisema hivo hivo,

By the way Pablo Marin on a 6 month loan deal w/ option to buy is sweet. If he plays shit, send him back to Flamengo. If he does well, sign him in the summer. It’s a win win
Uko sahihi mkuu, ni kama ilivyotokea kwa Denis Suarez. Win win situation
 
Daah!.. Mbona unanitisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pablo mari historia yake Fupi ameanza maisha ya mpra Mallorca kacheza Giaminstic Deportivo La coluna

Alisajiliwa na Man CTY mwaka 2016

July 2019 alijiunga na Manchester CTY akiwa man CTY hakufanikiwa kucheza mchezo wowote ndani ya man CTY ......

Manchester CTY iliweka kipengele cha buy back clause pamoja na set back walizopata Eneo la ulinzi kuumia kwa laporte ,walihusihswa kumnunua lakini hawakufanya hivyo.........maana laporte amepona

Ubora wa Pablo mari ni mzuri kwenye mpira ya juuu vision

Ya kupga pass lakin hana kasi, ni like per merteseker hivi ,au gerlad pique,

Pablo mari ni aina ya wachezaji kama Gerrad pique hawana kasi ila ni wana uwezo wa kumsoma mpinzani na kufanya interception na tacking ........., kaangalie. ..mech yao na Liverpool fainal club world cup ,

Sio usajili wa kutisha acha tuone Arteta atamtumia vipi

Naaamini Arteta amehusika hapa alikuwa naye Manchester City

Anatumia mguu wa kushoto anatokea Flamengo ya Brazil
 
Uko sahihi mkuu, ni kama ilivyotokea kwa Denis Suarez. Win win situation
Yah ndio maana Arsenal wame take risk , Aliyemuhitaji ni Arteta , Alikuwa anauzwa €30m , Arsenal wameshusha bei had €10m , hivo ni loan had summer Arteta akimkubali na kuingia kwenye mfumo wake , anatoa hiyo €10m , asipomkubali anarud kwao .

Ni win win situation
 
Usimuamini MTU kathibitishe mwenyewe , kamuangalie , utoe hukumu mwenyewe

Huyu kamuhitaji Arteta mwenyewe ,ni LCB alikuwa nae man city japo hakucheza ,
Nikitulia nitagoogle nimchek vzr!.. Kumbe jamaa anataka kutulisha matango pori hapa!.. Pia kwa vile anakuja kwa mkopo, akiunderperform atarudi kwao!. Nashukuru Mungu tunasajili hata kama ni mikopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pablo Mari ni bora kuliko Mustafi na atakuwa msaada kwa timu.

Kwenye fainali kati ya timu yake ya Flamengo na Liverpool ya World Club Super Cup alicheza kwa uzuri kiasi cha kuwaweka Liverpool hadi muda wa nyongeza.

Arsenal pia wameangalia bei kwa beki wa Shaktar Mykola Matviyenko ambae umri wake mdogo unaweka gharama kuwa kubwa.

Hivyo huyu na William Saliba kwa msimu wa 2020/2021 Arsenal angalau wakakuwa na mabeki wa kati wa kueleweka.

Tukikamilisha hii kuna uwezekano mkubwa tukamalizia na usajili wa Thomas Lemar wa Athletico Madrid.
 
Ni kweli kabisa ni upgrade ya mustafi ,
 
Siokweli ,

Hata Martinel mlisema hivo hivo,

By the way Pablo Marin on a 6 month loan deal w/ option to buy is sweet. If he plays shit, send him back to Flamengo. If he does well, sign him in the summer. It’s a win win
Deal za mkopo huwa nzuri coz tunamuevaluate mchezaji kwanza.
 
wazee wangu hivi Deal ya Kurzawa imebuma mbona naona kama anaenda Juve.
 
Back
Top Bottom