FRANCIS CAGIGAO : ARSENAL HEAD OF INTERNATIONAL SCOUTING
Francis Cagigao ni jina maarufu ndani ya Arsenal akiwa kama Mkuu wa kimataifa wa skauti ya kusaka vipaji , amefanya kazi na Arsene Wenger kwa muda mrefu , Asili yake ni muhispania , kwasasa ana miaka 50.
Kazi zake ambazo zimedhihirisha uwezo wake ndani ya Arsenal , ni kama Kufanya skauti ya kumpata Cesc Fabregas , Hector bellerin , Lauren Mayer , Robin van Persie , Santiago Carzola, Jose Antonio Reyes (R.I.P) , Emi marinez , Pia kushauri Arsenal imlete Alexis Sanchez , hata Usajiri wa Arteta kuja Arsenal kama mchezaji ilikuwa ushauri wake baada ya scouting
Mwaka Juzi 2018 alifanya Skauti ya kumfatilia kinda Gabriel Martinel ambaye Alishafanya Majaribio zaidi ya Mara 2 katika klabu ya Man utd ,na Barcelona ambapo kote huko walisema Amefeli .
Mwaka 2019 akaja na Majibu na kuishauri Bodi ya Arsenal imnunue Kinda huyu kwa £6m sawa na Billion 18 za kitanzania .
Bodi ya Arsenal ikamsikiliza na kulipa kiasi hicho , Huu ndio usajiri wake mwingine Unaotajwa Kulipa siku za usoni .
Scouting zake karibu zote zilileta matokeo chanya . ...Lauren Mayer, Cesc Fabregas, Reyes, Cazorla, Monreal, Arteta, Emi Martinez, Xhaka, Alexis Sanchez, Vela,Hector Bellerin, Van Persie
A true unsung hero behind the scenes, the experienced recruiter should be looking to establish himself as one of the key men in Arsenal’s revolution.
After all, he has the necessary qualities.