Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Upo sahihi, naona Brazil wanataka wamuite timu ya wakubwa mapema kabisa ,

Dogo ana mtihani mkubwa ,Kuchagua Italy au Brazil
Aende brazil akacheze friend match ila coper amerca &world cup atasikia kwa majirani,kule kuna miungu wotu wanaotoa jasho la damu ,wapo kama yeye ni wengi wanaishia kucheza friend match ,akijitambua anajua pa kwenda
 
Mkuu inawezekana ni kweli Ceballos hajawa fit, au hajafikia level Arteta anazotaka ili aanze kikosi cha kwanza.

Sidhani kama Arteta kwa kipindi alichofika ashaanza kuleta mambo ya Emery, ya kutenga wachezaji.

By the way mimi sio fan wa Ceballos, hata akiondoka Sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi..wacha aende tu..
 
Pablo Mari is heading to London for his Arsenal medical. [@pedroivoalmeida]

Arsenal ya London imefika makubaliano na Flamengo

Juu ya usajili wa Beki wa Kati Pablo Mari Villar mwenye miaka 26 .......

Atawasili London Kufanyiwa vipimo na atasain mkataba wa kuitumikia .......Arsenal ya London

Ada ya uhamisho haijawekwa wazi ila kulingana na ripoti haitavuka pauni 8m .......

Pablo mari historia yake Fupi ameanza maisha ya mpra Mallorca kacheza Giaminstic Deportivo La coluna

Alisajiliwa na Man CTY mwaka 2016

July 2019 alijiunga na Manchester CTY akiwa man man CTY hakufanikiwa kucheza mchezo wowote ndani ya man CTY ......

Manchester CTY iliweka kipengele cha buy back clause pamoja na set back walizopata Eneo la ulinzi walihusihswa kumnunua lakini hawakufanya hivyo.........

Ubora wa Pablo mari ni mzuri kwenye mpira ya juuu vision

Ya kupga pass lakin hana kasi Pablo mari ni aina ya wachezaji kama Gerrad pique hawana kasi ila ni wana uwezo wa kumsoma mpinzani na kufanya interception na tacking .........

Sio usajili wa kutisha acha tuone Arteta atamtumia vipi

Naaamini Arteta amehusika hapa alikuwa naye Manchester City

Anatumia mguu wa kushoto anatokea Flamengo ya Brazil
IMG_20200125_072458.jpeg
 
Arsenal offered €7-8 for Pablo Mari but Flamengo are demanding €30m. [@simpraisa]

Goal Brazil: Indeed Pablo Marí has travelled to have his Arsenal medical on Saturday in London and a deal agreed is less than €10m
 
Flamengo CB, Pablo Marí, at the airport with Edu in Brazil yesterday evening. He'll arrive in London today for medicals etc. Seems he only cost €7.1m (£6m) and is due to sign a 3/4yr contract.
IMG_20200125_112237.jpeg
 
Pablo Mari is heading to London for his Arsenal medical. [@pedroivoalmeida]

Arsenal ya London imefika makubaliano na Flamengo

Juu ya usajili wa Beki wa Kati Pablo Mari Villar mwenye miaka 26 .......

Atawasili London Kufanyiwa vipimo na atasain mkataba wa kuitumikia .......Arsenal ya London

Ada ya uhamisho haijawekwa wazi ila kulingana na ripoti haitavuka pauni 8m .......

Pablo mari historia yake Fupi ameanza maisha ya mpra Mallorca kacheza Giaminstic Deportivo La coluna

Alisajiliwa na Man CTY mwaka 2016

July 2019 alijiunga na Manchester CTY akiwa man man CTY hakufanikiwa kucheza mchezo wowote ndani ya man CTY ......

Manchester CTY iliweka kipengele cha buy back clause pamoja na set back walizopata Eneo la ulinzi walihusihswa kumnunua lakini hawakufanya hivyo.........

Ubora wa Pablo mari ni mzuri kwenye mpira ya juuu vision

Ya kupga pass lakin hana kasi Pablo mari ni aina ya wachezaji kama Gerrad pique hawana kasi ila ni wana uwezo wa kumsoma mpinzani na kufanya interception na tacking .........

Sio usajili wa kutisha acha tuone Arteta atamtumia vipi

Naaamini Arteta amehusika hapa alikuwa naye Manchester City

Anatumia mguu wa kushoto anatokea Flamengo ya BrazilView attachment 1333741

New Per Mertesacker.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gabriel Martinelli has scored 202 goals in 248 games for Corinthians youth side. At Ituano he’s scored 64 in 92.

Now he has 10 goals in 11 stats for arsenal...
This kid has astonishing statistics
IMG_20200124_211021.jpeg
 
#AFC not expecting any problems tying up signing of #Flamengo CB Pablo Mari. Player wants to come. Agent a close friend of Raul Sanllehi. Arteta knows him from his #MCFC days. Ticks all boxes. Medical booked. Release clause is £25m but Arsenal paying around £8m.
 
Bora Arteta anasolve kwenye mapengo mapema... Yule Ole yeye anajifanya mgeni wa EPL.
Kaza buti Mikel, OLE wetu kazi kutoa macho tu na Ed wake
 
Back
Top Bottom