Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani ndidi aachane na Leicester ambao wako moto wanasubiri walau liver ajikwae matches kadhaa. aje arsenal ambayo inataka kushuka daraja? Hayo yatakuwa ni matope aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Aise nitamshanga Ndidi ..apo nitaamini blacks tuna tatizo kubwa kwenye upande wa kufikiri...

Unajua bado wachezaji na sisi mashabiki tuna mentality kwamba timu Flani ni kubwa na ingine ni ndogo..

#CFC


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game yenu na Man u tuko pamoja lazima mushinde mkuu..

Kila la kheri Arsenal...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we ni tatizo...jukwaa lenu ulipotea wiki nzima baada ya kubuluzwa mfululizo. mechi ya jana tu baada ya kupewa msaada na referee unaleta utumbo wako kwenye jukwaa hili...na kuongea pumba na mashudu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we ni tatizo...jukwaa lenu ulipotea wiki nzima baada ya kubuluzwa mfululizo. mechi ya jana tu baada ya kupewa msaada na referee unaleta utumbo wako kwenye jukwaa hili...na kuongea pumba na mashudu

Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa mpoleee

We're Chelsea now ..karibu kwenye familia ya ushindi mfululizo ..kwa nin upate tabu?

#CFC


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe ni shabiki wa timu au shabiki wa nini mkuu????

Hivi mtoto wako akifeli shule utamchinja au utamfukuza nyumbani?????

Hivi unafikiri hizo timu za Championship hazina mashabiki????

Nottingham Forrest ilibeba UCL na mashabiki wake na ikashuka daraja na mashabiki wake na mpaka leo ina mashabiki wake...

Sasa wewe unahofia kushuka daraja??

Shabiki wa kweli anaenda na hali halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…