Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mashabiki kama nyie ndo nawapenda na j5 dhidi ya Manchester United ntakuja kukoment kwako hadi mpate akili sababu hamtaki kukubaliana na ukweli ARSENAL NI MBOVU na hata J5 HATUTASHINDA NARUDIA HATUTASHINDA SABABU YA TIMU YENYE WACHEZAJI WA KUOKOTA ARSENAL NI TIMU YANGU ILA IPAMBANE ISISHUKE DARAJA HILI NDO LIWE LENGO SASA

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mzee baba unalalamika nini hueleweki ujue? dirisha la usajili bado limefungwa sijui unatakaje mwenzetu, kama vipi sajili wachezaji wako wewe uwapeleke ili j5 tushinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lacca kaniangusha sana katika game hizi mbili,leo alikuwa na nafasi nzuri ya kufunga kama mbili za wazi kabisa,
Huyu Willock apelekwe mkopo hata bundasliga .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo tumefungwa, kilichonifurahisha ni namna tulivyocheza

Tumecheza soka letu ambalo Unai alikuja kutuharibia, tume possess, tume create lakini makosa madogo madogo ndio yametuangusha

Na hata mechi zijazo tukipigwa, mimi sina shida, cha msingi tucheze mpira wetu, tunamiliki mpira na kuwachengesha bwege timu pinzani, hilo kwetu ndio limekuwa muhimu kwetu, miaka yote

This is Arsenal I know, come on Arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea wamewazidi karibia kila kitu Chelsea wana asilimia 54 ya possession wakati nyinyi mna 46, off target Chelsea wana 13 nyinyi 7, on target Chelsea 4 nyie mbili au mzee baba hauoni na kipindi Cha 2 ndo mlizidiwa kabisa baada ya kuingia jorginho.
 
Hilo silipingi, ila kushuka daraja hapana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka kama Emirates tumefungwa mechi 3 mfululizo na away tumetoa droo 3 mfululizo jumla Mechi 6 point 3 kuna sababu gani ya kusema hatuwezi kushuka Daraja?mechi 12 tumeshinda 1 pekee sisi na NORWICH CITY ASTON VILLA AND WATFORD tuna utofauti gani ?kaka nakwambia jiandae kwa lolote Msimu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe naye unaharaka sana ya matokeo, hii timu yetu shida nyuma balance haipo kabisa, ila so far so good tumecheza vizuri game ya leo.

Lawama zangu ni kwa Mustafi marking mbovu, na Willock kushindwa kumaliza mechi ,Leno siwezi mlaumu sana amefanya mazuri mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka timu inazama kaka ishu sio matokeo ya haraka Emirates mechi 3 mfululizo tumefungwa na away tumetoa droo mechi 3 mfululizo jumla mechi 6 point 3 sasa huoni kama tunaelekea kushuka Daraja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea wamewazidi karibia kila kitu Chelsea wana asilimia 54 ya possession wakati nyinyi mna 44, off target Chelsea wana 13 nyinyi 7, on target Chelsea 4 nyie mbili au mzee baba hauoni na kipindi Cha 2 ndo mlizidiwa kabisa baada ya kuingia jorginho.
Tatizo naona wachezaji pia walijiamini kua hii gem washashinda wakatulia nyuma kukaba wakat hizo beki za kazi zenyewe hii timu haina yani mi nilkua nahesabu dakika nikijua goli litaingia mda wowote huwez kushinda kwa kutegemea kukaa nyuma ukabe na hao wakabaji hauna
 
Sasa kumbe unaelewa tatizo kwamba kikosi si kizima halafu unamtwisha mzigo wote kocha..... Kweli leo mechi ya pili tu na beki mwenyewe mustafi halafu kakutana na timu kubwa unamtwisha zigo la lawama hivyo....kwa hiyo ww lengo lako nn afukuzwe au..
Ishu ni kuwa hata kocha hana experience hvyo ni guarantee hana uhakika wa kutuvusha kipindi hiki ishu ya wachezaji inaeleweka ila kwa sasa ndo ana hicho kikosi na alikubali kuja kufundisha it means alijua anaweza nao kupata matokeo shda inakuja January ni wachezaji wangapi wakubwa watakuja ARSENAL?kwa timu inayozama kama hii hawa wachezaji ndo tutamaliza nao Msimu huu labda tutapata mchezaji 1 pekee ila kwa sasa tusijidanganye kabisa utapata wachezaji January

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo tumefungwa, kilichonifurahisha ni namna tulivyocheza

Tumecheza soka letu ambalo Unai alikuja kutuharibia, tume possess, tume create lakini makosa madogo madogo ndio yametuangusha

Na hata mechi zijazo tukipigwa, mimi sina shida, cha msingi tucheze mpira wetu, tunamiliki mpira na kuwachengesha bwege timu pinzani, hilo kwetu ndio limekuwa muhimu kwetu, miaka yote

This is Arsenal I know, come on Arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
acha uongo, full time possession kaongoza Chelsea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye arteta kusema sio kocha nakupinga mkuu arteta ni mtu leo timu imecheza unaona kabisa matumini yapo tukitaka kumfaidi uyu jamaa tumuache msimu huu tusimpe presha na msimu ujao atengeneze timu yake halaf baada ya hapo sasa tuanze kumsema vizur ila kwa sasa arteta sio wa kulaumiwa
Atalaumiwa tu. Kuna makosa mengine ya kijinga.

Dakika ya 70, why dont you bring in fresh legs?? Umeng'ang'ania Nelson. Pepe yupo nje
 
Back
Top Bottom