Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Apewe muda.

Kumbuka bado Arsenal haijachezesha kikosi chake cha kwanza.
Hii timu hiko kikosi cha Kwanza kikiwepo Kuna la maana linalofanyika? wachezaji wengi ni avarage tu apo timu ifumuliwe waletwe watu wa kazi sio hao utumbo utumbo tu kupiga pasi ilimradi pasi
 
Timu leo imeonyesha uhai!.. Lile Wengerball linaanza kurudi taratibu!.. Nyuma napo wanajitahidi sio kama enzi zile za Emery, utakuta goal on target tumepigiwa 30!.. Arsenal nawahakikishia sasa hivi tumepata kocha na kwa hakika tuna mechi 2 ngumu pakini tutashinda moja na moja tunaweza fungwa au kutoa droo kwangu mimi hiyo siyo mbali kwa kikosi hiki tulichonacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“I thought they’d get a top manager.”

“I don’t care if he worked for Guardiola. In management you’re on your own.”

“He’s stepping into a dysfunctional club.”

@SJOpinion10 says he is surprised that Arsenal have appointed Mikel Arteta.

Will he be a success? talkSPORT on Twitter

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
Timu leo imeonyesha uhai!.. Lile Wengerball linaanza kurudi taratibu!.. Nyuma napo wanajitahidi sio kama enzi zile za Emery, utakuta goal on target tumepigiwa 30!.. Arsenal nawahakikishia sasa hivi tumepata kocha na kwa hakika tuna mechi 2 ngumu pakini tutashinda moja na moja tunaweza fungwa au kutoa droo kwangu mimi hiyo siyo mbali kwa kikosi hiki tulichonacho

Sent using Jamii Forums mobile app
Real

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilizimis sana hizi stats sio kama kipindi kile tunapigiwa mishuti kama yote...hata na vitimu vidogo twna Emirates.


Hii ndio Arsenal tunaupiga mwingi home na away haijalishi matokeo....lakini utautafuta kwa tochi
Screenshot_20191226-204055.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa young players wetu bwana sio siri wanazingua, kama huyu willock kila mechi lazima anikere, Sijui huwa wanacheza mpira kwa mlengo upi nashindwa kuelewa kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Arteta anaonyesha mpira anaujua shda ni hawa mabinti Willock wa kwanza huyu akingiiaga ni kama tupo pungufu hanaga madhara kabisa kabisa wa pili Nelson duh huyu naye ni wale wale sasa imagine unao hao wote wawili katika first eleven nini kitatokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa young players wetu bwana sio siri wanazingua, kama huyu willock kila mechi lazima anikere, Sijui huwa wanacheza mpira kwa mlengo upi nashindwa kuelewa kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio wale wanaaga kwao "mama naenda kucheza" wakati watu wa kazi wakiaga wanasema "naenda kazini" lazima pawe na utofauti wakiingia uwanjani
 
Nilizimis sana hizi stats sio kama kipindi kile tunapigiwa mishuti kama yote...hata na vitimu vidogo twna Emirates.


Hii ndio Arsenal tunaupiga mwingi home na away haijalishi matokeo....lakini utautafuta kwa tochiView attachment 1304210

Sent using Jamii Forums mobile app
Arteta ni fund ni sana ndio maana nilikuwa naiman nae

Mpira wake umechambua pumba na mchele

Wale watoto hawafai kupata hata dk 1

Kukosekana kwa Natural LB kumetunyima nafas nyingi za magoli ,maana Saka kashindwa kabisa kupiga kross za forward kumalizia , kwenye kukaba kacheza vzr sana


Tactic za Arteta zimepunguza Makosa ya mabeki maana muda mwingi mpira unakuwa kwetu kama alivyosema anataka tudominate game

I believe in Arteta
 
#MACHO YANGU YALICHOFANIKIWA KUONA JANA



Niseme nina siku nyingi mno zaidi ya 100 plus sijawahi kuona arsenal iliyocheza jana

Aggresive bila kusahau confidence nimeiona baada ya siku nyingi.

niliwahi kusema players works on #tactics

nikujuze ujue ndio nashuhudia tukipiga pass nyingi ndani ya zone ya mpinzani .

Tuache ilo fast flowing attacking nimeona kwa kiasi kikubwa , Mpira wa arteta uliwapa hata mabeki utulivu wa kufanya marking.

Nafikiri wote tumeona intelligent ya arteta kutengeza build up yetu kiuchezaji pengine matokeo yakawa sio mazuri ila kuna mabadiliko mengi mno

Football ni rhythm au niseme fluidity kitu ambacho leo kimemrudisha xhaka yule wa babu wenger sijaona unnecessary passess bali nimeona pass za malengo tu akipiga .

Licha ya kwamba hatukuwa makini sana kutumia nafasi lakini hili ni swala kocha natumai kaliona kabisa na amelizungumzia ., Laca hakuwa sawa kabisa kapoteza nafas za kufunga , nelson ana utoto mwingi ,next natarajia kumuona pepe akianza.

Je mara ya mwisho kushuhudia tukifanya attempts 17 ni lini?

Je wajua hakuna player kafanya tackling na recoveries uwanjani zaidi ya torreira najua umeona., na kwanini Mateo gunduz hawez na hakustahili kuanza mbele ya xhaka na LT11.

Binafsi huwa naupa muda nafasi .,

huyu ozil hajaisha to be honest ni anapiga pass nzuri mno na Arteta amesema anajua kumtumia vzr tu.

Ozil Jana ndio mchezaji pekee wa arsenal aliyetengeneza nafasi 4 kwenye open play ndani ya game moja hii ni nyingi kuliko mchezaji yeyote wa arsenal msimu huu kufanya hivyo kwa game 1

Binafsi niseme mabadiliko yanahitaji muda tusitegemee makubwa kwa mda mfupi lakini tuwe nyuma ya kocha wetu nime enjoy mpira licha matokeo kutokuwa rafiki

This means a lot about attractive football


Hatutoki_na_hatuhami


IMG_20191221_080741.jpeg
 
Back
Top Bottom