Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ozil, Lacazette, Aubameyang and Pepe all start today as per club insider @Wayne_Writes
 
Line up against Bournemouth

Leno

Maitland-Niles
Sokratis
Luiz
Saka

Xhaka
Torreira

Nelson
Özil

Aubameyang
Lacazette
 
Lineup today

4-2-3-1
IMG-20191226-WA0008.jpeg
 
Habari za Usajili. Exclusive!! Arsenal inamtaka Adrien Rabiot wa Juventus kwa mkopo mwezi ujao.

3b4f13ac-dcbf-4cd7-b992-f2428c4be95f.jpg

Adrien Rabiot.

Rabiot ameanza kucheza mechi tani tu katika mechi tisa alizochezea timu yake ya Juventus.

Kocha mkuu Mikael Arteta anataka kutumia nafasi hiyo kumchukua Rabiot kwa mkopo.
 
Bournemouth wanacheza counter attack wakati Arsenal wanashambulia sana lakini hawatumii nafasi zinazotengenezwa.

Nicolas Pepe alipaswa kuanza mechi na sio Nelson.
 
Back
Top Bottom