Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumwamini kocha tumpe mda arsenal wachezaji wengi wanaleta ubishoo tu pasi nyingi ambazo hazina madhara yoyote kwa mpinzani

Kama kwenye usajili arteta akipatiwa watu anaowahitaji na tusipoona mabadiliko yoyote walau ndani ya misimu miwili hapo sasa itabidi tuanze kuhoji uwezo wake

Ila kwa Sasa kocha apatiwe mda atengeneze timu yake mwenyewe apatiwe na resources za kutosha ili tumuhukumu vizuri

Uyu willock ****e
 
Back
Top Bottom