Duh lacazetee jamni? Kwanini asababishe free-kick sasa?Duh Leno jamani
Leo Arsenal tunashinda, Chelsea ni timu ya kawaida haina uwezo wa kumfunga Arsenal
Kila lakheri chama langu Arsenal.
Nliongea hii kauli nkaambiwa sijui kuandika sio shabiki wa damu wa Arsenal ila narudia kusema SISI MASHABIKI WA ARSENAL TUNA MDOMO SANA SANA KUPAMBA PAMBA TU MARA ARTETA KOCHA BORA MARA SIJUI NINI ILA HATUNA TIMU KABISA NA HATA ARTETA MWENYEWE SI WA KUMUAMINI NA NINAOTA NDOTO ARSENAL ANAWEZA AKASHUKA DARAJA SABABU HATUNA TOFAUTI NA ASTON VILLA NORWICH WALA WATFORD TUKISEMA TUNAONEKANA SIO WAJUAJI HAYA ACHA TUENDELEE KUPATA HAYA MATOKEO TUSHUKE DARAJA TUJIANZE KUJIANDAA NA LOLOTE LILEMatteo ndo moja ya sababu sisi kuwa wa 12 hapo na akikaaga na Toreirra huwa Kati panavuja kama maji hilo linafahamika na haina ubishi hyo sehemu inahitaji usajili mkubwa ila ni bahati mbaya Xhaka hayupo inabidi acheze yeye ila nakuapia kama leo Chelsea wanataka ushindi hapo ni sehemu ya kwanza yenye udhaifu mkubwa
Nelson sina la kusema ila kwa akili ya kawaida je Nelson ni mzuri kuliko Pepe?labda kama Arteta kabanwa na sheria ya ligi lazima kuwe na Waingereza kadhaa kwenye kikosi labda ila zaidi ya hapo ni labda ana lake jingine ila Pepe ndiye msumbufu hata mabeki huwa wanamuogopa na kutaka kumchezea rafu za kumvunja miguu
Sent using Jamii Forums mobile app


MNAPENDA SANA VITU VYA CHEAP CHEAP CHEAP OPTION ITAWAMALIZA.Tumekuwa kama sikio la kufa.
Wewe unaoneka mshabiki wa timu wakati wa mavuno,ila anaueijua mpira kwake ni kawaida tu kipitia nyakati kama hizi.MNAPENDA SANA VITU VYA CHEAP CHEAP CHEAP OPTION ITAWAMALIZA.
Hahahahahahahahah Endeleeni kusubiri mavuno Kila kheri.Wewe unaoneka mshabiki wa timu wakati wa mavuno,ila anaueijua mpira kwake ni kawaida tu kipitia nyakati kama hizi.
Sio top 4 ni kushuka Daraja unaongelea top 4Tusahau Top 4.Welcome Arteta.