DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Xhaka anasepaHakuna kitu kama hicho, trust me
So sad, pamoja na mapungufu yake Xhaka ni muhimu kwa sasa. Unai Emery aliharibu timu kwa kiwango kikubwa na haya ndio matokeo yake.Ajabu sana mashabiki waliomchukia xhaka Leo wanataka abaki......
Arsenal Fans world wide Mtu mwenye Quality aheshimiwe..
Emery alileta damage kubwa sana, Kamchezesha Xhaka out of position ,mashabiki wakamchukia ,na Xhaka aka react , Leo anakaribia kuondoka kwa dau la £35m.
Mashabiki wale wale wanamuomba abaki
xhaka ozil Torreira pepe wahanga..ni wahanga wa Upumbavu wa Emery
Ujio wa Arteta umeonesha Xhaka , LT11 ,Ozil ni watu muhimu Siku zote ..Football works on Tactic
Huyu Nelson anaanzaje pale,hata kama pepe hayupo alikuwa sio wakukaa hata bench
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule MUHINDI mpumbavu sana ,alikuwa anatuaminisha uongo kuwa Mateo Gunduz anatakiwa aanze badala ya Xhaka na LT11 , willock ni bora kuliko Ozil ,So sad, pamoja na mapungufu yake Xhaka ni muhimu kwa sasa. Unai Emery aliharibu timu kwa kiwango kikubwa na haya ndio matokeo yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo willing kwenda huko au analazimishwa...?Xhaka close joining Hertha Berlin for fee around £30-35m
He's the one pushing the move..Yupo willing kwenda huko au analazimishwa...?
Ooh!! Sawa kaka.
Kovacic naye ni mchezaji kumbeWith a midfield of Guendouzi ,Xhaka and Torreira or Ozil, Kovacic will eat them alive man and that too alone
Sent using Jamii Forums mobile app


