Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo tunahitaji point 3 kamili matokeo tofauti na point 3 leo na tarehe 1 tutakuwa katika relegation place Arsenal huwa tuna maneno mengi sana mara Arteta kocha mzuri ooh mara kiungo watabadilika hiyo yote ni kupoteza muda tu
Tunahitaji point 6 Leo na tarehe 1 kama hatutapata hizi point timu yetu na Watford au Norwich zitakuwa level 1 ila majina tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Kante aliyeassist juzi mkachabangwa goli mbili buyu na wale vitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kiungo... unatokaje hapo kwa mfano?
EM9Lf2TXUAAi1TK.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee baba wewe si kocha.. arteta ndio anajua kila mchezaji strength & weakness zake...

Sent using Jamii Forums mobile app
Washabiki sisi. Kiufupi washabiki wa arsenal tunajua kuliko makocha. This is so surprising jamani.

Hebu muacheni kocha afanye kazi yake. Huyu arteta si ndio tulimtaka???

Hata mimi ningependa pepe acheze, lakini ule wakati nipo kwenye midaladala ya mwendokasi kuelekea posta kutafuta ugali wangu, ule muda ambao wewe upo stesheni ukisubiria gari za mbagala, ule muda ambao unafanya shughuli zako ndio muda ambao arteta yupo na wataalamu wenzie wa mpira ambao wamekuwa kwenye soka kwa miaka kadhaa wa kadhaa wakiangalia na kuchambua ni mchezaji gani Bora acheze.

Tuacheni ujuaji mwingi wazee
 
Huu ugonjwa sio wa washabiki wa Arsenal pekee mzee.....huu ugonjwa ni wa wapenda soka duniani kote,

Ukienda pale jukwaa la Liver kina Ngwaba na wenzake wanachukia Hendo akipangwa lkn Klopp ndio anayejua....ukija hapo jukwaa la Chelsea nao kila siku wanakosoa plan za kocha....

Hata hao Pundits wa Uingereza pia wanakosoa na kutoa mapendekezo na maoni....

Kwahiyo hilo sio jambo la ajabu ingawa sikupingi sana mzee...

Naujuaji wao huo huo wanapuyanga! Wanaboronga na kufukuzwa!

Kuna vitu huwa viko wazi hata sisi tunakuwa tunaona kuna sub huwa zinafanyika hovyo! Kiasi tunajua jamaa anakosea wapi! Aingie nani mambo yaende sawa!

Tofauti kubwa ya sisi na wao ni presha! Wao wanakuwa wanafanya mambo katika presha! Na ndio maana huwa wanatoa maboko wakati mwingine

Jicho la kuwa mchezaji fulani ni mzuri hata madenge wa kilungule anaweza kuwa nalo!!
Labda kama anataka kumtumia kwa namna nyingine mf. Kama victor moses kwa conte.
Kiuchezaji bila kuongeza mbinu na mikalati ya kocha pepe ni mchezaji mzuri zaidi ya neilson
 
Ok mkuu
 
Back
Top Bottom