MECHI YA KWANZA IMEISHA DRAW , GOOD START KWA MIKEL ARTETA
Inaonyesha wazi wachezaji wanaanza kushika maelekezo ya mwalimu hii wataielewa wale ambao walikua wanaangalia mpira kwa jicho la saba ,
Juzi nilileta video hapa mbili moja Arteta akiwa mazoezini na wachezaji wa Arsenal ,na nyingine ni ya pep akiwa baryen anavyofundisha mpira .,zile video zinafanana kila kitu kuhusu mbinu na kumiliki mpira .
AINA YA MFUMO, MNAJUA KWANINI TUMEUTAWALA SANA MCHEZO. JANA ..!?
Arteta alihitaji zaidi kucheza na alionyesha wazi hakutaka kuwapa Bournemouth mwanya wa kuutawala mchezo, Niliona uwepo wa Maitland Niles pale kati alikua anaonekana kama kiungo pale timu iliposhambulia na hii ilimsaidia Xhaka kusogea juu kumrahisishia kazi Mesut Ozil
Kuna baadhi ya watu wanasema tatizo la timu halikuwa la Unai Emery, binafsi nasema niyeye katufikisha hapa kwa sababu alishindwa kusajili wachezaji wakufikia malengo au timu ya ushindi
Alituaminisha uongo kupitia hawa wachezaji aliowaamini, Alituaminisha uongo kuwa Mateo Gunduz anastahili kuanza kikosi cha kwanza mbele ya LT11 , pia LT11 sio DM sababu ni mfupi , na Akamlazimisha acheze Box to Box MD ,
leo Arteta anawalazimisha kufanya mambo ambayo hatukuyategemea .,na Gunduz itabid asubiri kwenye mbao , hakika naweza kusema Arteta ni chaguo sahihi .
Kocha alipewa fedha za usajili akasajili wachezaji kama hawa sasa kwanini asilaumiwe bado?EMERY NDIYE KATUFIKISHA HAPA TULIPO ....ilifikia hatua timu haiwezi kupiga pass hata 10 .
NANI ALIMUONA OZIL YULE NINAYEMTAJAGA..!?
Kama hukuona zile Short pass, long pass pamoja na turn pass basi utakua mchawi kwenye Jamii ya wapenda soka maridhawa alinyimwa misifa na kale katoto Nelson pamoja na mwenzie Lacazette .
NAIONA ARSENAL IMARA ENDAPO ARTETA ATAPEWA PESA , Arteta is gonna dominate this generation after 2 years
Mpaka dakika ya 52 tumeutawala mchezo kwa Ball Possession tuna 74 kwa 26 kusema ukweli hatukuyaona haya kwa Unai Emery
Leo tumepiga jumla ya Pasi 872 this is the Guardiola effects aminini nawaambia Arteta amesepa na vitini vya Guardiola
Tumepiga jumla ya mashuti 17 na mara ya mwisho kufanya hivi kocha alikua Arsene Wenger
ARTETA IS GOING TO BE OUR HERO, APEWE PESA
Next to Chelsea, asituchukulie poa tunamdai point zetu tatu maana Belle boy na mwenzie Ceballos watakuepo
I prefer arteta Atakuja na 4-3-3 , aweke kati ceballos lt11 xhaka ,
Kwa mpira wa Jana Ni dhahiri pumba zilijitenga , Kukosekana kwa LB natural maana LB zote ni injury , ilitukost maana saka walishindwa kupiga V pass au kross bora.,
Pepe anafaa kuanza ., Lacazette bado hajafanya tunachohitaji , ndio maana sishangai Martinel akija kumuweka bench mazima .
NOTE: SITOMLAUMU ARTETA MSIMU HUU, NITAMLAUMU MSIMU UJAO .
Ukiangalia leo Luiz na yule babu wa kigiriki kulikua na utulivu hii ilisaidiwa na uwepo wa Torreira, Xhaka pamoja na Niles aliekuwa akiingia ndani kuwapa nguvu ya upepo wa kisulisuli
VIVA ARSENAL , VIVA ARTETA
View attachment 1304566