Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sevilla wonderkid Antonio Zarzana 'could become Mikel Arteta's first signing at Arsenal' as Gunners join Liverpool and Bayern Munich in tracking the midfielder

Zarzana rejected a move to Real Madrid last year because his ambition was to play for Sevilla's first team.
IMG_20191220_231227_044.jpeg
 
Our former players coming out and publicly wishing Mikel Arteta the best of luck is making me far more emotional than it should.
IMG_20191220_232026.jpeg
IMG_20191220_215742.jpeg
 
Nimeisikiliza interview yake yote jamaa ameongea vitu vya msingi sana

Jamaa anajitambua sana
Huyu jamaa kuna vitu anavyo, atatusaidia ila apewe muda na resources za kutosha.

Tatizo tunaloliona kwa sasa (ubovu wa mabeki na viungo) ulianza toka enzi za mzee Wenger. Hatukua na recruitment nzuri ya kupata watu sahii kwenye position hizo.

Timu yetu on paper inaweza kuonekana nzuri ila ukweli mchungu ni kuwa tuna wachezaji wengi wa kawaida. Ili kutoka hapo na kusahisha makosa ya nyuma, tunahitaji muda wa kuunda kikosi cha ushindani.

Hivyo ndugu zangu gunners tuwe wavumilivu, tusiweke matarajio makubwa kwa sasa. Tujipe walau misimu miwili, kwenye mpira hakuna shortcuts.

COYG, #HATUTOKI_HATUHAMI#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi ndugu yangu

Na hili swala hata Bodi inalijua ,kuna wachezaji karibu watano hadi kufikia summer watauzwa ,
 
Huyu jamaa kuna vitu anavyo, atatusaidia ila apewe muda na resources za kutosha.

Tatizo tunaloliona kwa sasa (ubovu wa mabeki na viungo) ulianza toka enzi za mzee Wenger. Hatukua na recruitment nzuri ya kupata watu sahii kwenye position hizo.

Timu yetu on paper inaweza kuonekana nzuri ila ukweli mchungu ni kuwa tuna wachezaji wengi wa kawaida. Ili kutoka hapo na kusahisha makosa ya nyuma, tunahitaji muda wa kuunda kikosi cha ushindani.

Hivyo ndugu zangu gunners tuwe wavumilivu, tusiweke matarajio makubwa kwa sasa. Tujipe walau misimu miwili, kwenye mpira hakuna shortcuts.

COYG, #HATUTOKI_HATUHAMI#

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu atatusaidia sana!.. Jamaa watu wanamkubali sana!.. Sijawahi kuona assistant coach anayepigiwa chapuo na kuongelewa sana na watu kama huyu!.. Huyu kutakuwa na kitu kweli ndani yake!.. Naamini msimu ujao tutaanza kufaidi matunda yake!..

Arteta sio kocha wa muda huu ni wa Msimu ujao maana yake ni kwamba msimu huu tushafeli hilo linaeleweka hatuna viungo wala mabeki kabisa next season akisajili basi hapo tutaanza kumuangalia rasmi kwa sasa tumalize top 10 hilo ndo lengo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyie Arsenal wajinga sana Pep katumia pound Million 600+ kuitengeneza man city ya ushindani nyinyi mnalalamikia pound 200 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza kwa matusi usishtaki kwa mods.

Hizo 600+ Mumeo Guardiola alitumia ndani ya miezi 18? Na hatujasema kua lengo letu tulingane kikosi na mumeo Guardiola tumesema hata kikosi cha kwanza hakua nacho. Jifunze kubalansi shobo.
 
Umaskini utawaua tafuteni pesa siyo kulalamikia hela ya mboga tu.

Wachezaji wenyewe mnasajili kwa mafungu kama mnanunua bamia kwa Mangi
Umeanza kwa matusi usishtaki kwa mods.

Hizo 600+ Mumeo Guardiola alitumia ndani ya miezi 18? Na hatujasema kua lengo letu tulingane kikosi na mumeo Guardiola tumesema hata kikosi cha kwanza hakua nacho. Jifunze kubalansi shobo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu atatusaidia sana!.. Jamaa watu wanamkubali sana!.. Sijawahi kuona assistant coach anayepigiwa chapuo na kuongelewa sana na watu kama huyu!.. Huyu kutakuwa na kitu kweli ndani yake!.. Naamini msimu ujao tutaanza kufaidi matunda yake!..

Sent using Jamii Forums mobile app
Manchester United is still there weka akilini hilo
 
Trust in Arteta? Sina imani naye. Wenger anakuja Arsenal hakua msaidizi Nagoya Grumps alikua ni kocha mkuu, Lampard anaenda Chelsea hakua msaidizi huko alipotoka. Hata Ole huko alipotoka alikua ni kocha mkuu katika timu aliyoishusha daraja.

Naona watu wanaandika kua alichezea Arsenal, anaijua Arsenal, amekua msaidizi chini ya Pep so lazima atakua anajua mpira ambao ni nembo ya Arsenal. Jamaa kachezea Everton kuliko Arsenal. Lakini tunafanya ionekane alienjoy maisha Arsenal na hapo ni kwake, really?

Wanadai uzoefu hauna tija na mfano wao ni Guardiola, kama huo ni mfano wako sioni utashindwaje na mfano utakaofuata ukawa ni Zidane. Hawa wawili wameanzia maisha ya ukocha kwenye timu zenye kila kitu, pesa, mbinu, world class superstars n.k. Pep baada ya Barca hajawahi pata UCL tena, na ni kocha mtumia pesa kuliko wote EPL.

Kwangu mimi bado kwa Arteta tunacheza kamari. Watu wanadai Wenger alikua hajulikani, siyo hajulikani ila huku ndiyo ilikua hatumjui, wewe unadhani Bodi ya Arsenal inawajua makocha wanaosajiliwa na Simba au Yanga? Kwamba kuna siku Simba au Yanga ijikute inagombea kocha na Arsenal?

Tuache utani kwenye dili serious.
 
Back
Top Bottom