Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hebu angalia hizi sajiri za Liverpool na ndio timu ya moto kwa sasa EPL ikiwa haijapoteza hata mchezo mmoja....lakini ni timu bora ulaya na inaelekea kuwa bora dunia keshokutwa tu.....

Aliyeturudisha nyuma ni Unai,kafanya Sven aondoke na walipewa 200m lakini hakuna walichofanya,

Michael Edward ni fundi sana aiseeeh,

Kwahiyo pesa ya usajiri waliyopewa Arsenal ingekuwa ndio tuna mtu kama Klopp na Michael aiseeeeehhhh ...lakini bahati mbaya tulikuwa na Unai ManinaView attachment 1298436

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan watu wanaongea kwa uzoefu ,Ohio arsenal haitoi hela , hawafatilii

Cha muhimu kufanya recruitment bora

Ndio Wenger amesema hicho , Arsenal summer wamesajiri ovyo

Unai katufelisha pakubwa sana

Naamini Arteta ataleta watu sahihi


Wenger amesema recruitment ya Liverpool ni bora maana imeleta watu sahihi kwa ajiri ya kuingia kwenye mfumo wao .
 
Kama tunawaza ubingwa au top 4 saka bado hana uwezo wa kutupa chochote kile tuwe wakweli saka anapata namba kwa Liverpool na Man City?wachezaji wangapi wa Arsenal wanaweza wakapata namba Liverpool au Manchester city?timu yetu bado sana hata Arteta naye atapata tabu sababu ya mabinti waliopo Arsenal ukiachana na wanaume wachache
Arsenal ni timu yetu sote ila kwa sasa haina jipya tusubiri Msimu wa 2020/2021 kwa sasa tushafeli

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni jicho la kuona mchezaji mzuri ,mchezaji mzuri sio yule aliyenunuliwa kwa mipesa lukuki....

Mifano ipo...

Hawa ni wachezaji walionunuliwa kwa pesa ya kawaida na wengine wametoka academy kama saka na wanafanya vizuri kwasasa kuliko hata hao walionunuliwa kwa pesa nyingi...

TAA,MANE,SALAH,ANDERSON,GOMEZ,FODEN,MADDISON,NDIDI n.k

Orodha ni kubwa

Tatizo Jicho,Jicho,Jicho,Jicho,Jicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ramsey (on Arteta appointed Arsenal manager)
IMG_20191220_215742.jpeg
 
Ukumbuke City wanao uwezo wa kusajili mchezaji akazingua, baada ya muda mfupi wakasajili tena namba ile ile.

Sasa Arsenal hata usajili wa kawaida ni mbinde sana, wanawezaje ku-afford kumweka mtu benchi akiwa mzima!
Hawa wanaongea tu na kujifurahisha.

Ozil will never move until his contract expires
 
Ozil bado mkataba wake mpaka 2021....
Mkuu,
Na jamaa hapo alieleza wazi kuwa Yaya alipigwa bench mpaka kandarasi yake ilipoisha akasepa bure...
Na suala la Ozil lipo wazi kuwa yeye ndio hataki kuondoka so kocha anayekuja kama hatoweza kumtumia litamtokea lililomtokea Yaya...atakula bench then aende free.

Sent using Jamii Forums mobile app
Not that easy
 
Just finished watching arteta's press conference and I can tell you that he has spoken very very well
I am super excited for the future
IMG-20191220-WA0037.jpeg
 
Arteta:


“There was one man, his name is Arsène Wenger, that believed in me & gave me the opportunity for this club & after that, he made me captain of this club. I wouldn’t be sitting here if he didn’t have the vision to give me the opportunity to enjoy this incredible club.”
IMG_20191220_192036.jpeg
 
Özil kwa sasa ni Arsenal Fan hiki ndicho kinapelekea abaki pamoja na suala la kifedha.

Özil atabaki tu.
And he is a marvellous player.

Wale wanaosema oohhh sijui hakabi, sijui mvivu sijui nini, they should shit their mouth and let ozil be.

It was made clear by Wenger and by himself, he is who he is, anaempenda sawa na asiempenda afe
 
KUHUSU USAJIRI

Raul Sanllehi on the January window:

'The winter window is much more tactical. Now we're going to have conversations between Edu and Mikel to see what things we can do or what we should do.'
D52_9462_2019122061233645.jpeg
 
Arteta on why he chose Arsenal now:


“Sometimes in this industry, you can have a plan to develop the best possible way, then emotions get involved. When Arsenal knocks in any door, it’s difficult to say no. When they knock on my door, it touches my heart & makes it difficult.”
IMG-20191220-WA0031.jpeg
 
And he is a marvellous player.

Wale wanaosema oohhh sijui hakabi, sijui mvivu sijui nini, they should shit their mouth and let ozil be.

It was made clear by Wenger and by himself, he is who he is, anaempenda sawa na asiempenda afe
Definitely!

Wanaosema hakabi wasisahau kumsema Ronaldo. 😎
 
KAMA NILIVYOSEMA HII NI NEW PROJECT BAADA ILE YA UNAI KUFELI

BODI INA MPA MUDA A IMPLIMENT TACTIC ZAKE ,BILA PRESSURE

Ornstein on board expectations of Arteta:

This season:
-Finish in a respectable position
-Challenge for EL
-Instill a culture

Next season:
-Make top 4
-Challenge in Europe (if we make it)

No pressure on Arteta for a while. 3.5 year contract. Long term project.
IMG_20191220_171609.jpeg
 
Arteta thankful for Wenger. Saying he wouldn't be here if not for Arsene bringing him in and giving later on, making him club captain.



Here is a picture of Arteta with Xabi Alonso as kids, WITH Arsene Wenger and George Graham in the background...

Destiny Lads!

Make of that what you will
FB_IMG_1576871978308.jpeg
 
Back
Top Bottom