Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hearing Freddie Ljungberg signs off as Arsenal interim boss at #EVEARS by going with youth - Martinelli, Smith-Rowe, Nelson, Saka, Maitland-Niles in mix to start. Understand Mikel Arteta wants 6 staff including Ljungberg. As per others, Steve Round & Inaki Cana also incoming #AFC(David ornstein)
Duh kama ni kweli sitaangalia mpira ntaenda kufanya kazi zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hearing Freddie Ljungberg signs off as Arsenal interim boss at #EVEARS by going with youth - Martinelli, Smith-Rowe, Nelson, Saka, Maitland-Niles in mix to start. Understand Mikel Arteta wants 6 staff including Ljungberg. As per others, Steve Round & Inaki Cana also incoming #AFC(David ornstein)
Inaki Cana alikuwa Deportivo la Coruña au Villarreal enzi na nyonya?
 
Mkuu kwan tatizo ni nini?

Kama usajiri utafanyika cha muhimu Watu wasajiriwe muhimu , kuendana na falsafa ya mwalimu

Emery aliaminiwa ndan ya miez 18 kapewa £200m kavurunda ,

Now tunaanza new project ,na Arteta hadi amesaini kaahidiwa usajiri

Huyu ni right candidate ,

Emery alitaka kuleta mpira wake wa ovyo ,

Lakini Aaron wewe ni mzoefu na hizi propaganda za matajiri wa Arsenal, since wayback, wanaweza kuahidi usajili halafu muda ukifika unasikia kauli za hakuna mchezaji sokoni.

Nakumbuka kuna kipindi makocha wengine walikuwa wanasubiri mchezaji atakayekuwa pointed na Wenger wanambeba.

Labda waamue kubadilika. Kwa sababu wakati wanamchukua Unai, Arteta kwenye proposal yake alihitaji 200+ na Unai akasema yeye atawatumia hawa hawa waliopo. Akapewa Unai.
 
Naangalia BT sport Keown anasema he is not convinced that ozil picked injury but it is because he was sure Ljungberg was not going to play him
 
Acha kumfananisha Ole na vitu vya kijinga.

Ole alishafundisha man united reserve team kushinda vikombe twice.

Akafundisha Molde akafanya vizuri for two consecutive seasons.

Akaenda Cardif things went south team ikawa relegated.

Akarudi Molde akacheza EUROPA league tena akaongoza kuongia round of 32 akatolewa na Sevilla.

Kaja Man united akafika robo fainali UEFA champions league.

Unataka kumlinganisha na huyo Arteta wenu ??

Be serious London babies

Sent using Jamii Forums mobile app
Umechambua ka mwehu tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trust in Arteta? Sina imani naye. Wenger anakuja Arsenal hakua msaidizi Nagoya Grumps alikua ni kocha mkuu, Lampard anaenda Chelsea hakua msaidizi huko alipotoka. Hata Ole huko alipotoka alikua ni kocha mkuu katika timu aliyoishusha daraja.

Naona watu wanaandika kua alichezea Arsenal, anaijua Arsenal, amekua msaidizi chini ya Pep so lazima atakua anajua mpira ambao ni nembo ya Arsenal. Jamaa kachezea Everton kuliko Arsenal. Lakini tunafanya ionekane alienjoy maisha Arsenal na hapo ni kwake, really?

Wanadai uzoefu hauna tija na mfano wao ni Guardiola, kama huo ni mfano wako sioni utashindwaje na mfano utakaofuata ukawa ni Zidane. Hawa wawili wameanzia maisha ya ukocha kwenye timu zenye kila kitu, pesa, mbinu, world class superstars n.k. Pep baada ya Barca hajawahi pata UCL tena, na ni kocha mtumia pesa kuliko wote EPL.

Kwangu mimi bado kwa Arteta tunacheza kamari. Watu wanadai Wenger alikua hajulikani, siyo hajulikani ila huku ndiyo ilikua hatumjui, wewe unadhani Bodi ya Arsenal inawajua makocha wanaosajiliwa na Simba au Yanga? Kwamba kuna siku Simba au Yanga ijikute inagombea kocha na Arsenal?

Tuache utani kwenye dili serious.
Ofcourse umeongea vitu vya msingi na vya kweli. Kuwatumia Pep na Zinedine km mifano ya kumjustify Mikel with all due respect to these guys ni makosa.

Kama ulivyohighlight baadhi ya factors ambazo Barcelona na Madrid walikua nazo na sisi(Arsenal) hatuna km vile world class players na financial position ya vilabu husika.

Nikiri kuwa hii ni kamari,lkn pia hili nililisema(tukiwa na jamaa zangu) kabla hata moto wa kutimuliwa Unai haujaanza. Niliwaambia kwa sasa Arsenal ikitokea wakamtimua Unai basi the best coach they can afford ni Arteta,walinibishia ila jana walinipigia wa kwanza baada ya breaking news za #AFC.

Kwa nini nililiona hili?

1. Arsenal kifedha kwa sasa wako hoi.

2. Wanaandamwa na mzimu wa Wenger aliyeweza kuoperate with very limited budget na bado alifanya mambo makubwa uwanjani na kuleta almost maximum profit.

3. Arsenal imepoteza mvuto kwa Makocha mahiri na pia wachezaji wazuri.

Kwa sababu hizi zote,Arteta was the best;

1. Ni affordable in terms of costs

2. Wanashawishika kwamba atleast anaweza kurudisha glory days za Wenger kwa kuorganise overage players tulionao na soon tutaanza tena kushiriki uefa na kuraise vipaji na kuviuza km zamani.

3. Kwa kuwa tumepoteza mvuto kwa big Coaches,the best way ni kujaribu kuspot one of the young promising coaches ambaye kwake Arsenal will be an upgrade.
 
Hapana kaka nakukatalia Arsenal ni moja ya timu tajiri duniani tatizo ni Kroenke kwanza haujui mpira na hajawah kwenda uwanjani zaidi ya mtoto wake kumtuma na Arsenal ina uwezo wa kumchukua kocha yoyote duniani sababu ni moja ya timu kubwa na yenye hela duniani ila changamoto ni Kroenke tu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom