Mkuu kwan tatizo ni nini?Kwa jinsi mashabiki wa arsenal wanavyojifariji na ujio wa arteta,ni kama hawajafahamu tatizo lao la msingi ni nini.
Pesa ya Kroenke haitoki kifala hivyo jamani.
Hao hawakupaswa kucheza Arsenal ni wa kupeleka mkopo au kuuza kabisa, unakutana na Liverpool upange hizo takataka kina Nelson, Willock, saka na guendouz unakula nyingi, hata hiyo game kuiangalia ni kichefu chefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anaongea vitu vingi ambavyo havipo,We ndio hamna kitu kabisa, unamuita Saka takataka?
Sorry.. Naomba kufahamu hii ya tajiri kuishi UingerezaWanajua sana, hakuna timu EPL yenye uwezo wa kufanya hivyo isipokuwa City.
Chelsea alikuwa na uwezo huo kipindi tajiri anaruhusiwa kuishi Uingereza
Kama tunawaza ubingwa au top 4 saka bado hana uwezo wa kutupa chochote kile tuwe wakweli saka anapata namba kwa Liverpool na Man City?wachezaji wangapi wa Arsenal wanaweza wakapata namba Liverpool au Manchester city?timu yetu bado sana hata Arteta naye atapata tabu sababu ya mabinti waliopo Arsenal ukiachana na wanaume wachacheWe ndio hamna kitu kabisa, unamuita Saka takataka?
Sorry.. Naomba kufahamu hii ya tajiri kuishi Uingereza
Tram Kama Arsenal haipaswi kuwa na mchezaji aina saka atakupa kombe gani? Saka hata spurs hakai bench atapelekwa kwa mkopo huko stoke City au ReadingWe ndio hamna kitu kabisa, unamuita Saka takataka?
Even Uni emery's selection process, we heard the same story. Arsenal is a big club, we need an experienced manager not arteta. This club's board is a jokeRaul Sanllehi said the #AFC had interviewed other names before deciding on Arteta:
“We met several top-class candidates and Mikel stood out to every single one of us as the perfect person for us,”View attachment 1298251
Absolutely yes, huo ndio ukweli sio baadhi kumung'unya maneno wakati ukweli unajulikanaKama tunawaza ubingwa au top 4 saka bado hana uwezo wa kutupa chochote kile tuwe wakweli saka anapata namba kwa Liverpool na Man City?wachezaji wangapi wa Arsenal wanaweza wakapata namba Liverpool au Manchester city?timu yetu bado sana hata Arteta naye atapata tabu sababu ya mabinti waliopo Arsenal ukiachana na wanaume wachache
Arsenal ni timu yetu sote ila kwa sasa haina jipya tusubiri Msimu wa 2020/2021 kwa sasa tushafeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuatilia ni kweli unalolisema. Ngoja tuone mwisho wake.Ni mgogoro unaendelea kati ya Uingereza na Urusi uliosababishwa na Uingereza kuituhumu Urusi kumuua kwa sumu jasusi wa urusi aliyekimbilia kujificha uingereza.
Mgogoro huo ulipekea uingereza kufukuza balozi na wanadiplomasia wa Urusi na yeye urusi akafukuza balozi wa uingereza na wanadiplomasia wa uingereza.
Wakapigana marufuku raia wa nchi hizi kuingia nchi ya mwenzake. Ndio maana Tajiri wa Chelsea hawezi kuingia uingereza tangu huo mgogoro uzuke na Roman alijaribu kwenda kuchukua uraia wa Israel ili aingie uingereza bado alikataliwa.
Mgogoro wa kidiplomasia wa nchi hizi bado haujaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una utani sana , Mbappe wa kumsajiri hapo EPL ni city tu
Kwa jinsi mashabiki wa arsenal wanavyojifariji na ujio wa arteta,ni kama hawajafahamu tatizo lao la msingi ni nini.
Pesa ya Kroenke haitoki kifala hivyo jamani.
Upo sahihi kabisaWanajua sana, hakuna timu EPL yenye uwezo wa kufanya hivyo isipokuwa City.
Chelsea alikuwa na uwezo huo kipindi tajiri anaruhusiwa kuishi Uingereza
Hebu angalia hizi sajiri za Liverpool na ndio timu ya moto kwa sasa EPL ikiwa haijapoteza hata mchezo mmoja....lakini ni timu bora ulaya na inaelekea kuwa bora dunia keshokutwa tu.....Absolutely yes, huo ndio ukweli sio baadhi kumung'unya maneno wakati ukweli unajulikana
Sent using Jamii Forums mobile app