Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata guardiola alianzia chini... hakuna kocha aliyeanzia juu.. kuanzia chini ndio maisha halisi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini usifananishe Pep alipoikuta Barcelona au Zidane alipoikuta Madrid ambazo zilisheheni wachezaji mahiri na wakafanikiwa kufanya vyema, hata hivyo Kuna utofauti wa Arsenal hususani wamiliki na board za usajili, kwa Arsenal board and the owner of the biggest shares ni mzigo mabahili kupitiliza, Arsena wachezaji iliyonayo sasa 70% average players, Sasa huyu Arteta anaenda kwenye weak and average team, muda utaongea tu hatukawii kusema afukuzwe maana ameenda kwenye mabosi mabahili

Kuhusu usajili wamemwambia watampa support....
 
Arteta akihamisha makazi leo asubuhi kutoka jiji l Manchester kuelekea north london
IMG-20191219-WA0011.jpeg
 
Kesho jamaa Leo alikuwa anawaaga city na kubeba mabegi YAKE

Kila kitu tayari ataanza Ku manage team mechi ya wiki ijayo, wikiend hii atakuwa jukwaani tu

Mkuu Arteta anapewa timu leo na kesho anatangazwa rasmi.

Arsenal wanataka aanze kazi kesho.

Pauni milioni 1 iko kwenye muamala kuingia Account ya Man City.
 
Majirani zetu natamani sana Arteta atue Arsenal. nataka nimuone je pep yuko ndani ya arteta? Ata apply Zile mbinu, skills na mifumo ya pep? Au atakuja na kitu chake kipya.

Changamoto nanayohisi itamkabili Arteta kwamba kama ataamua kufundisha ule mpira wa pep basi atakwama kupata wachezaji wa aina ya pep.

Je Arteta analo jicho la kuona wachezaji wazuri kama pep? Kama hilo jicho hatakuwa nalo basi tutegemee Arteta atakuja na style yake mpya ya ufundishaji mbali na style ya pep.

All in all nadhani Arteta ataifanyia makubwa Arsenal apewe muda ajenge timu, mashabiki kuweni wavumilivu. Mmepata pacha wa pep kazi kwenu kusupport kandanda safi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Arteta ni kocha wa New Arsenal.

Wote na Guadiola wanatoka kwenye kitu chaitwa Catalan Machine yaani kitalu cha wachezaji wote mahiri wa Spain.

Ni Barcelona ambako kuna shule yaitwa La Masia Academy. hatari sana.

Arteta ndiye aliembadilisha Raheem Sterling kuwa mchezaji wa maana wa Man City.

Hivyo tusubiri mabadiliko makubwa Arsenal.
 
Hivi wachezaji kama Ozil, Auba, Laca,Pepe,Bellerin au Tierney sio wa kiwango cha dunia kweli?tatizo la Arsenal lilikuwa kocha
Majirani zetu natamani sana Arteta atue Arsenal. nataka nimuone je pep yuko ndani ya arteta? Ata apply Zile mbinu, skills na mifumo ya pep? Au atakuja na kitu chake kipya.

Changamoto nanayohisi itamkabili Arteta kwamba kama ataamua kufundisha ule mpira wa pep basi atakwama kupata wachezaji wa aina ya pep.

Je Arteta analo jicho la kuona wachezaji wazuri kama pep? Kama hilo jicho hatakuwa nalo basi tutegemee Arteta atakuja na style yake mpya ya ufundishaji mbali na style ya pep.

All in all nadhani Arteta ataifanyia makubwa Arsenal apewe muda ajenge timu, mashabiki kuweni wavumilivu. Mmepata pacha wa pep kazi kwenu kusupport kandanda safi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikel Arteta has signed his contract as new Arsenal manager.

Carlo Ancelotti will sign his contract as new Everton manager soon. 100%.

Confirmed.

#AFC #EFC #transfers

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
Ile aseno ya kandanda safi inarudi maana tulikuwa tunaogopa hata kwenda kuangalia mpira Unai Huyu pumbavu zake
Kwa wachezaji gani Bukayo Saka atakupa mpira ule wa babu Wenger miaka ya 2006 kushuka chini, Arsenal ilianza kuharibika baada ya Kroenke kununua hisa nyingi, mateso bado yapo palepale yaani kinachofanyika ni Ugonjwa wa kifua kikuu kutulizwa na Panadol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arteta ni kocha wa New Arsenal.

Wote na Guadiola wanatoka kwenye kitu chaitwa Catalan Machine yaani kitalu cha wachezaji wote mahiri wa Spain.

Ni Barcelona ambako kuna shule yaitwa La Masia Academy. hatari sana.

Arteta ndiye aliembadilisha Raheem Sterling kuwa mchezaji wa maana wa Man City.

Hivyo tusubiri mabadiliko makubwa Arsenal.
Wachezaji wavivu watauzwa

Nasikia kuna Overhaul kubwa itapita kukisuka kikosi tena
IMG_20191217_190356.jpeg
 
Kwa wachezaji gani Bukayo Saka atakupa mpira ule wa babu Wenger miaka ya 2006 kushuka chini, Arsenal ilianza kuharibika baada ya Kroenke kununua hisa nyingi, mateso bado yapo palepale yaani kinachofanyika ni Ugonjwa wa kifua kikuu kutulizwa na Panadol

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na hayo,

Unai alikuwa kansa , hivi unajua ndan ya miez 18 kapewa £200m na kakosa hata kupata kikosi cha kwanza
 
Arsenal inapaswa kupata kocha mzoefu na ambaye ni strong sio Kama kina unai na hawa kina Arteta wa kuokota okota, tunatakiwa kuwa na kocha anaeweza kuitikisa board ya Arsenal na Kroenke wao sio makocha wa majaribio Kama ilivyokuwa kwa Unai Emery

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom