Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mbona unai alikuwa experiencedArsenal inapaswa kupata kocha mzoefu na ambaye ni strong sio Kama kina unai na hawa kina Arteta wa kuokota okota, tunatakiwa kuwa na kocha anaeweza kuitikisa board ya Arsenal na Kroenke wao sio makocha wa majaribio Kama ilivyokuwa kwa Unai Emery
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikubwa kocha anatakiwa ashirikiane na Bodi vzr hasa kufanya recruitment nzuri
Wenger amesema Ameondoka Arsenal ameacha Financial iko vzr ,
Cha ajabu wanafanya recruitment isiyo sahihi
Huwez kushindana EPL na kiungo kama Gunduz , mabeki walioenda umri kama luiz na sokratis kwa pamoja ,
Arteta mm na imani nae kubwa sana ,ila tumpe muda
Makocha wote wanaokuja Arsenal lazima wawe ma head coach sio ma manager tena .