Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arteta is at the training ground

It's more than impossible kuuza karibu nusu ya wachezaji kwenye timu. Hawa sio Simba/Yanga ambao wanaweza kununua wachezaji 11 ndani ya dirisha moja la usajili. It'll take time to restructure Arsenal, na bahati mbaya sana fans don't need to wait that long, banners of Arteta Out will be shown in no time.Arteta ni kucheza kamari kama kwa makocha wengine tu wenye experience
Wapo ma asistant coach waliotoka mikononi mwa ma manager wakafanikiwa ,
Mfano Bob paisley. , alitoka kuwa Assistant coach wa Billy shank , akafanya maajabu makubwa katika soka , yupo Joe Fagan, Zinedine zidane , alikuwa assistant coach kwa muda mfupi kutoka kwa ancelot
Cha muhimu ni commitment , Ku implement tactic na kupewa muda , na ifanyike recruitment sahihi ya wachezaji , Lazima Arteta atengeneze Display nzuri hasa eneo la midfield , hatuwez kushindana hata na kina palace kwa midfield ya gunduz ,
Lazima Atengeneze patrneship/chemistry eneo la ulinzi , kwanza awaondoe wale wazee ,
Na klabu imemuahid kuingia sokon, Kuna karibu nusu ya kikosi watauzwa ,
Hivo tumpe Muda anajua NINI anaenda kufanya
Kocha wa ovyo alikuwa emery tu , hawez kutokea kocha wa ovyo kama Emery tena
Umesema ukweli kabisa ,It's more than impossible kuuza karibu nusu ya wachezaji kwenye timu. Hawa sio Simba/Yanga ambao wanaweza kununua wachezaji 11 ndani ya dirisha moja la usajili. It'll take time to restructure Arsenal, na bahati mbaya sana fans don't need to wait that long, banners of Arteta Out will be shown in no time.
I personally wish him all the best, but the job at hand is too big for him.
Weekend game. Taratibu za premier league ni lazima kuwe na press conference 2. Moja kabla ya mechi na nyengine baada ya mechiWalitaka wajadili nn kwenye hicho kikao mkuu
Nampenda sana Ozil, ilà kwa sasa tutafute No.10 mwingine, amechoka sana na ni mda wa kwenda vilabu vya kawaida tu.Umesema ukweli kabisa ,
Kuna wachezaji wataondoka taratibu huku Arteta anajenga timu yake
Xhaka ,ozil hawa January wanaondoka
Hadi kufikia summer zaidi ya wachezaji had watano watakuwa wameondolewa
SahihiNampenda sana Ozil, ilà kwa sasa tutafute No.10 mwingine, amechoka sana na ni mda wa kwenda vilabu vya kawaida tu.
Kwakweli Muda wa Ozil umeisha , pia kuondoka kwake atafungua gape kuja wachezaji wengine maana kutakuwa na Gape kubwa la Wage bills.Nampenda sana Ozil, ilà kwa sasa tutafute No.10 mwingine, amechoka sana na ni mda wa kwenda vilabu vya kawaida tu.
Sio rahisi ozil kuondokaUmesema ukweli kabisa ,
Kuna wachezaji wataondoka taratibu huku Arteta anajenga timu yake
Xhaka ,ozil hawa January wanaondoka
Hadi kufikia summer zaidi ya wachezaji had watano watakuwa wameondolewa
Tatizo yeye mwenyewe hataki kuondokaNampenda sana Ozil, ilà kwa sasa tutafute No.10 mwingine, amechoka sana na ni mda wa kwenda vilabu vya kawaida tu.




Lazima apewe muda ajenge timunaona mnafarijiana na ujio wa Arteta huku mkiwa na matarajio lukuki
mara ooh atakuja na ule mfumo kutoka La masia
Hii Arsenal yenu mnaisahau kwa muda mfupi sana! mnajua kabisa mnawachezaji wa aina gani
Hapo hata angekuja kocha kama Ferguson, kwa wachezaji mlionao ni ngumu sana kufanikiwa
Jipeni muda wa mpito mjenge timu na huyo Arteta wenu huku mkijijengea mazoea ya vipigo kila mechi muhimu na kujipozea machungu kwa kuisapo liverpool kwa muda mnakaribishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Alimgomea unai ila kwasasa ataondoka kupisha Wengine , tayari Mwakilishi kutoka Fernabache inasemekana amesafir kuja London kukamilisha diliTatizo yeye mwenyewe hataki kuondoka
Unarudia tu maelezo wadau waliyokwisha sema...huna hata pointi mpya kwenye maelezo yako...pita kule👉👉👉naona mnafarijiana na ujio wa Arteta huku mkiwa na matarajio lukuki
mara ooh atakuja na ule mfumo kutoka La masia
Hii Arsenal yenu mnaisahau kwa muda mfupi sana! mnajua kabisa mnawachezaji wa aina gani
Hapo hata angekuja kocha kama Ferguson, kwa wachezaji mlionao ni ngumu sana kufanikiwa
Jipeni muda wa mpito mjenge timu na huyo Arteta wenu huku mkijijengea mazoea ya vipigo kila mechi muhimu na kujipozea machungu kwa kuisapo liverpool kwa muda mnakaribishwa
Sent using Jamii Forums mobile app