Fidia arsenal wamekubali kulipa , Na Josh kreonke kashasepa zake U.S.A
Arsenal wamecheza rafu halafu picha zikavuja , Arsenal hawakufata utaratibu , wanataka kuchukua Back staff yote ya Pep .
City kinachowauma na kuwaudhi sio Arteta tu bali arsenal ndio wanataka kuibomoa tu kwa kuwachukua watu wengine wawili.
Si mnakumbuka Steve Morrow alitimuliwa.
Sasa pale Man City yuko mwanamme ambaye ni head of youth scouting.
Huyu jamaa alimscout Sancho. Sasa arsenal nao wanakaribia kumvuta.
Halafu wana mtu wa video analyst pia tunataka kumvuta.
Ukijumlisha na Borrel, basi Man city wanazidi kuchanganyikiwa.
Wanajiuliza nyie mnafuata nn huko ARSENAL ,
Halafu ikumbukwe ndio walikuwa wanamuandaa Arteta aje kuwa manager pale maana Pep anarudi barca au kwenda PSG au Juve .
View attachment 1297143View attachment 1297144View attachment 1297145View attachment 1297146