Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wait and see
IMG_20191219_011907.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seems Rodolfo Borrell will join Arteta at #arsenal #afc

Before joining City in the summer of 2016, Borrell was technical Director and Head of Coaching at Liverpool’s Academy, having been brought to the club by Rafa Benitez in 2009.
IMG_20191218_184202.jpeg
 
Alafu Arteta jana sijamuona katika benchi la ufundi

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
ESPN:

-Arsenal hope to announce Mikel Arteta as manager today.

- Borrel will join him at Arsenal from Man City

- Freddie will be part of Arteta’s staff Osman on Twitter
IMG_20191219_112836.jpg


Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
ARTETA APEWE MUDA KUPROVE ANA KITU GANI

Note : usajiri wa kocha ni kamari tu kama ulivyo usajiri wa wachezaji success ni majaliwa tu hvyo tusi jurge sana ujio wa arteta kwamba hawezi

Experience ni pamoja na ku learn( kusoma) kwa walio mzidi kakaa na Guadiora 3 years, now natumai kapata kitu atleast ujue huu ni muda mrefu zaidi

Kuliko wa zidane aliokaa kama assitant chini ya ancellot kabla ya mafanikio yake ya UEFA

Nafikiri cha msingi ni support kwa project atakayohitaji kujenga yeye na plan zake kama zitatutoa hapa tulipo kwa sasa

Nakumbuka mpaka sasa rivals kama manchester united tangu 2013 hawajawahi kusajiri kocha asiye na experience as head coach wote walikuwa experienced mfano moyes van gal mourinho

Je ni mafanikio gani makubwa zaidi wamepata ukiacha FA na EUROPA hiiinatupa funzo mafanikio ni process na bahati ya mtu kufanikiwa kwa alichokijenga

Tukipunguza matarajio tutauona ukweli binafsi ntamsupport tu akifail basi atakuja mwingine sio kila doubts ni sahihi

View attachment 1296537
Umenena vyema.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makubaliano ni kwamba Arteta ataanza kazi msimu ujao. Anamalizia msimu huu city

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu , anakuja anatambulishwa Leo au kesho

Approacha waliyotumia Arsenal ndio city hawajaipenda , maana pep anaondoka city muda wowote na wao walishamuandaa Arteta kuchukua mikoba

Arsenal walitumia uhuni kuongea na arteta na picha zikavuja , Kwahiyo wanataka kulipwa

Arteta na Arsenal wameshamalizana kila kitu

City ndio wanaleta zengwe
 
Mkuu wanagoma kwa sababu gani au mgt ya Arsenal hawataki kilipa fidia.
Fidia arsenal wamekubali kulipa , Na Josh kreonke kashasepa zake U.S.A

Arsenal wamecheza rafu halafu picha zikavuja , Arsenal hawakufata utaratibu , wanataka kuchukua Back staff yote ya Pep .


City kinachowauma na kuwaudhi sio Arteta tu bali arsenal ndio wanataka kuibomoa tu kwa kuwachukua watu wengine wawili.

Si mnakumbuka Steve Morrow alitimuliwa.

Sasa pale Man City yuko mwanamme ambaye ni head of youth scouting.

Huyu jamaa alimscout Sancho. Sasa arsenal nao wanakaribia kumvuta.

Halafu wana mtu wa video analyst pia tunataka kumvuta.

Ukijumlisha na Borrel, basi Man city wanazidi kuchanganyikiwa.

Wanajiuliza nyie mnafuata nn huko ARSENAL ,


Halafu ikumbukwe ndio walikuwa wanamuandaa Arteta aje kuwa manager pale maana Pep anarudi barca au kwenda PSG au Juve .
IMG_20191219_121526.jpeg
View attachment 1297144
IMG_20191219_121519.jpeg
IMG_20191219_095423.jpeg
 
Press conference iliyokuwa ifanyike Leo imeahirishwa

Surprise, surprise... Arsenal’s scheduled press conference, due to take place this afternoon, has been postponed.
 
Back
Top Bottom