Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pepe , auba na martinel wanaweza tengeneza utatu mmoja mzuri sana

Laca anatabia ya kuhold sana mipira ,anajimwambafai sana akiwa na mpira ,

Faida ya martnel anacheza winger zote na CF , hivo anakuwa fkexible kufanya movement kila upande ,

Auba pia anaweza kutokea pemben , hii inafanya hawa watatu nione wanendana sana kuliko laca akiwepo timu inakosa balance ,

Laca ana demand £200k , itakuwa poa akiuzwa na hela yake iongeze beki,

Madrid nao kama wanamtaka Auba , walete hiyo hela na Jovic ,

ila martinel ni hazina kubwa anajua nn anachokifanya ,

Pale katikati kiungo akicheza xhaka & toreira kinakuwa compact ,

Colum aachwe Kama CB,
IMG-20191210-WA0006.jpeg
 
Reports are saying that #AFC could announce a new manager this week and the transfer budget in January is around £40m after the club set to increase their winter budget. #transfer
 
Martinelli made 20 high-intensity sprints vs #WHUFC, twice as many as any other Arsenal player.
IMG_20191210_093713.jpeg
 
Edu anamtaka Vieira ,but majority wanamuhitaji Arteta ,
Aise aje arteta, uyo viera hapana kwa kweli!....maana aliteta alishakaaga kipindi kifupi na wenger, ndo akasepa man cty...uyo viera sijuii falsafa zake uko kwenye maisha yake ya ukocha. namskia skia tu kwa watu.
 
Ljungberg on his future: "I speak to Edu. We try to speak because I don't have so much of a staff! I've been told to work on a game-to-game basis. Like I said, it's the club I love & I'll try to help them as much as I can. Then it's up to them to do what they do" #Arsenal
 
Aise aje arteta, uyo viera hapana kwa kweli!....maana aliteta alishakaaga kipindi kifupi na wenger, ndo akasepa man cty...uyo viera sijuii falsafa zake uko kwenye maisha yake ya ukocha. namskia skia tu kwa watu.
Aje arteta

Bench la ufundi litabaki hili la kina Freddie & per

Head coach atakuwa arteta

Per aliwahi kusema anapenda sana kufanya kazi tena na arteta ,

Ngoja tuone kama Arsenal hawatapiga U turn , kuna kocha mmoja kati ya Simeon au ancelot anatimuliwa wiki hizi zijazo kama wataendelea kukosa matokeo mazuri

Per Mertesacker has opened the door for Mikel Arteta to return to Arsenal as manager.

Arteta, 37, spent five years at the Emirates as a player and captained the club during that time.

Arsenal-FA-Cup-Winners-Parade.jpeg
 
It’s now more than likely that Carlo #Ancelotti will leave #Napoli after the game against #Genk.

And #Arsenal are still looking for a manager..
 
Pepe , auba na martinel wanaweza tengeneza utatu mmoja mzuri sana

Laca anatabia ya kuhold sana mipira ,anajimwambafai sana akiwa na mpira ,

Faida ya martnel anacheza winger zote na CF , hivo anakuwa fkexible kufanya movement kila upande ,

Auba pia anaweza kutokea pemben , hii inafanya hawa watatu nione wanendana sana kuliko laca akiwepo timu inakosa balance ,

Laca ana demand £200k , itakuwa poa akiuzwa na hela yake iongeze beki,

Madrid nao kama wanamtaka Auba , walete hiyo hela na Jovic ,

ila martinel ni hazina kubwa anajua nn anachokifanya ,

Pale katikati kiungo akicheza xhaka & toreira kinakuwa compact ,

Colum aachwe Kama CB, View attachment 1287402
Mzee unamtukana Lacazette.

Martnell yuko poa tangu day one namuona Europa nilijua ni yuko poa. Lakini kudai Laca aende kisa huyu dogo siyo sahihi.

Lacazette kwa uwezo wake wa kukaa na mpira na nguvu anastahili kua right wing au CF. Martnell anapendeza kua CF kwa sasa, Pepe jana katukosesha goli la nne, bado tumtupe Lacazette?

Mi siamini.
 
Aje arteta

Bench la ufundi litabaki hili la kina Freddie & per

Head coach atakuwa arteta

Per aliwahi kusema anapenda sana kufanya kazi tena na arteta ,

Ngoja tuone kama Arsenal hawatapiga U turn , kuna kocha mmoja kati ya Simeon au ancelot anatimuliwa wiki hizi zijazo kama wataendelea kukosa matokeo mazuri

Per Mertesacker has opened the door for Mikel Arteta to return to Arsenal as manager.

Arteta, 37, spent five years at the Emirates as a player and captained the club during that time.

View attachment 1287428
Ukisema Simeon unamaanisha Diego Simeon?
 
Lonfon Sources

| Juventus defender Merih Demiral, Leipzig defender Dayot Upamecano & RB Salzburg midfielder star Dominik Szoboszlai are on Arsenal radar for the January transfer window. #AFC
 
Mzee unamtukana Lacazette.

Martnell yuko poa tangu day one namuona Europa nilijua ni yuko poa. Lakini kudai Laca aende kisa huyu dogo siyo sahihi.

Lacazette kwa uwezo wake wa kukaa na mpira na nguvu anastahili kua right wing au CF. Martnell anapendeza kua CF kwa sasa, Pepe jana katukosesha goli la nne, bado tumtupe Lacazette?

Mi siamini.
Mimi ni mshabiki binafsi wa lacazette ,

Ila nilikuja kugundua baada ya muda kuwa Auba ,laca na pepe timu inakosa balance , sio kwamba ni laca ni mbaya no ,ni kutokana na uchezaji wake , ni mtu wa kuhold mipira

Wachezaji kutokuendana haimaanishi ni wabovu,

Mfano Gunduz akicheza na xhaka au gunduz na toreira timu inakosaga balance , lkn sio kama gunduz ni mbaya

Lakin wanapocheza xhaka na toreira timu INA balance

The same Martinel auba pepe wote ni flexible

Ukizingatia laca ana demand 200k per week , let's go

Pepe Jana katukoseshaje goli 4 ?
 
Mzee unamtukana Lacazette.

Martnell yuko poa tangu day one namuona Europa nilijua ni yuko poa. Lakini kudai Laca aende kisa huyu dogo siyo sahihi.

Lacazette kwa uwezo wake wa kukaa na mpira na nguvu anastahili kua right wing au CF. Martnell anapendeza kua CF kwa sasa, Pepe jana katukosesha goli la nne, bado tumtupe Lacazette?

Mi siamini.
Upo kama mimi, game moja-mbili zisifanye tukasahau wachezaji wetu wenye uwezo mkubwa. Lacca yupo poa sana, nisingependa auzwe unless big offer comes au aonyeshe kuwa big headed(wachezaji wengi wana hii kasumba).

We need to rotate our squad hivyo kuwa na wachezaji wazoefu na makinda kama Martinelli ni muhimu sana.
 
Hatumbez lacazette ,lkn huu ni ushauri ambao Freddie ameuchukua kumdrop laca , kuna mech hasa big match kuwasumbua mabeki , lkn kuna mech hata za karibun jaribu kumfatilia anavyo hold mipira ,huwa auba na pepe wanakuwa out of position au anaenda kupoteza mpira ,
 
Back
Top Bottom