Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona Freddie kaamua kumwamini LT na ratings zimeonesha alichofanya leo. Hongera LT
Screenshot_20191210-005953.jpeg
 
Mods toeni picha ya Emery hapo huyo mtu siyo kocha tena Maxence Melo Fang Invisible .

Tukiacha hilo.

We are supposed to play FROM the back not AT the back. Wachezaji hawafocus kupeleka mpira mbele, ni kama mtu anayejifunza kucheza PlayStation mpira. Akili inamwambia namna pekee sitofungwa ni huyu mwenzangu asipopata mpira na ili asiupate inabidi nipige pasi ila nikiwa kwangu.

Hii ni shida as ukicheza na timu yenye washambuliaji wenye nguvu na vishada kama Mane, Messi, Ronaldo, Vardy, Kane n.k. hapo ni kujitafutia matatizo.

Magoli yetu yamepatikana dk ya 60, 66 & 69. Kipindi cha kwanza chote tulitumia kumiliki, yaani kama vile kumiliki ndiyo lengo kuu la timu. Guendouz alipoingia akawa anajaribu kuvunja huo mwiko wa kutopeleka mbele mpira, kama kawaida yake.

Xhaka kapoteza mno mipira. Ni kama vile anatuadhibu kwa kumuamini. Kutokana na hilo tumejikuta West Ham ana attempts 10 na Arsenal 7, ingawa wote tuna on target 4 hii inamaanisha to play AT the back na Xhaka kukosea pasi kumetufikisha hapo.

Anyway, wewe jamaa wa chumba cha pembeni unapiga mno kelele wakati mimi mwanangu anataka kulala. Tuheshimiane, una mabinti wawili, mmoja kamaliza o level mwingine yupo la tano ukiendelea utakuta stori ya mmoja wao kwenye uzi wa tunda kuliwa kimasikhara.
 
Martinelli goal...
 
Jurgen Klopp hails Gabriel Martinelli as 'a talent of the century.

Klopp: “That’s really difficult to deal with these guys. Martinelli’s pretty much the same age but he’s a talent of the century, he’s an incredible striker, so it’s really difficult.”

Huge praises.
IMG_20191210_014850.jpeg
 
"Ushindi huu una maana kubwa sana kwa wachezaji, nina furaha kwa ajili yao. Wiki za karibuni wameishi kwa shinikizo sana na uchezaji wao ulionyesha hivyo. Waliopoamini tena na kutaka kucheza mpira mzuri unaona matokeo yaliyopatikana, wamefanya vizuri"

@freddie
IMG_20191210_020612.jpeg
 
Back
Top Bottom