Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,923
- 27,157
Mnachonichekesha zaidi utakuta kuna baadhi yenu wanajiita eti Arsenane ndio baba wa London
Naishia kucheka tu.

Naishia kucheka tu.

Wewe akili ndogo,Mnachonichekesha zaidi utakuta kuna baadhi yenu wanajiita eti Arsenane ndio baba wa London![]()
Naishia kucheka tu.
Kocha wa kwanza kutimuliwa atakua Lampard. Hizi kauli mnazikumbuka?Wewe akili ndogo,
Huwezi laumiwa ndugu
Kocha wa kwanza kutimuliwa atakua Lampard. Hizi kauli mnazikumbuka?Wewe akili ndogo,
Huwezi laumiwa ndugu
Arsenal ni timu ndogo ilikua inabebwa na mbinu za Wenger tu ambae alikua mshindani yule mzee sijui kwanini mpaka leo hajapata timu
Nilikuwa simchezeshi sababu hakuna watu wa kumlinda kwakweliNafikiri ndio maana Unai alikuwa anamweka bench kutokana na hizo sababu......