Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
DuhJamani tusidanganyane hii timu yetu ni dhaifu, wachezaji ni legelege sana.
Kwan hujui wachezaji hawamtaki emery wakiongozwa na Lacazette ?
DuhJamani tusidanganyane hii timu yetu ni dhaifu, wachezaji ni legelege sana.
Mkuu lengo ilikuwa 1 tupigweKulikua na uwezekano wa kumaliza hii gemu mapema sana, tulipata nafasi nyingi za wazi ila hazikutumiwa ipasavyo, hapa napo tumlaumu kocha?
Hizo few hours hazifiki tuuuuuuuA Mundo Deportivo journalist (Spain) claiming Emery will be sacked in the next few hoursView attachment 1275638
Bangi zimekolea [emoji38][emoji38]Wewe hivi unavuta bangi?
Sisi kama Arsenal KHALISI bado tunampenda kocha no mata wat haendi popote..Mpe neno moja tu....View attachment 1275600
Uwe unaweka ivi gemu ikiisha yan full time..Bangi zimekolea [emoji38][emoji38]View attachment 1275670
Official announcement incoming #EmeryOut