AiseeehSisi kama Arsenal KHALISI bado tunampenda kocha no mata wat haendi popote..
Kila la kheri Unai..Emery![]()
Pamoja na magumu yote tunayoyapitia, Mwenyezi Mungu tupe ushindi leo
Bora mara 10000000000000000000BREAKING NEWS:- Wamiliki wa Arsenal wanajiandaa kuiza club.
Hii game ni sare tena


Unai Emery on the brink of the sack at Arsenal - with Freddie Ljungberg on standby ahead of Norwich clash Emery facing sack as board meet - with Ljungberg on standby ahead of NorwichKocha unai apewe Muda zaid ni kocha mzuri sana mwenye future Nzuri
Huyu kocha apewe miaka mitano mbele hakika atakuwa ni bonge la kocha hapo badae
Bora aiuze kwani Asmanov anaitaka Arsenal hata leo,alimwambia Kroenke mwaka juzi amuuzie hisa zake zote jamaa akakataa na Asmanov ana mpunga mrefu kuliko Kroenke.BREAKING NEWS:- Wamiliki wa Arsenal wanajiandaa kuiza club.
siku mpuuzi atapoiacha timu yetu pendwa walah nitafanya vitu vilivyo juu ya uwezo ase.hahahah nitatembea na mguu kutoka namtumbo adi viunga vya london.
mpuuzi tmemuvumilia sana miezi 18 ni mingi sana.we UNAI FAKEEE unajisikiaje kutumia jina hili nahsi hili jina lina nuksi ata ktk nje ya soka hahahah oh kuna vitu utajifelisha.te te te te te te mkuu badili hilo jina halina sifa nzuri....