Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_20191128-190441_Live%20Football%20TV.jpeg
 
Nasikitika sana,leo arsenal tutashinda hii game dhidi ya Frankfurt,i wish tungepigwa ili huyu mbwa Emiliana afukuzwe!
 
KWANINI TUNASEMA TACTICS(MBINU) NA FORMATION( MIFUMO) NI CHACHU YA UBORA WA TEAM KIMCHEZO

Vitu tajwa juu hapo ni muhimu mno kwa #build up play au #set up ya team kimchezo ndio vitu ambavyo hutumika pia kuonesha #identity ya team kimchezo mahala popote pale je ni vitu gani hvyo

#MBINU(TACTICS)
Kwenye soka mbinu ni jinsi gani team inacheza ni namna gani wachezaji wanakuwa #positioning pia #movements za mchezaji mmoja mmoja na team nzima kiujumla

Pengine tukasema ni jinsi gani wanatumia muda,nafasi na kumanage #individual #actions za wachezaji hii ni mbinu kimchezo ambazo kimsingi zinafanya kazi kwa usahihi ndani ya mifumo na falsafa kiuchezaji

#FORMATIONS(MIFUMO)
Tunaposema mifumo hii ni mpangilio wa wachezaji uwanjani kulingana na nafasi na majukumu yao mifumo ipo mingi siku hizi hii ni kutokana na ongezeko la mbinu kiuchezaji zamani wengi tulizoea diamond formation 4-4-2 lakini kutokana na mabadiliko mengi kiuchezaji kwa sasa ipo mifumo mfano 3-4-3,3-5-2,4-5-1 ,4-2-3-1 na kadharika

Mifumo kitu cha msingi sana ndio hutumika kuonesha #flow au #movements za wachezaji uwanjani pia ni #approach gani kocha anayo kimchezo either kujilinda au kushambulia mifumo uonesha mfano 4-3-3 mfumo ambao mara nyingi upo attacking focused lakini 5-4-1 hii ni mifumo kiukabaji hvyo basi mkufunzi lazima awe makini mno kufanya choice kulingana wachezaji wake

Hivi vitu viwili ni tatizo kubwa kwetu ndio huchangia kucheza vibaya hatuna #identity nikiwa na maana mbinu zinazoeleweka upande wa build up pia mifumo ambayo ndio msingi wetu tunatumia mifumo lundo ndani ya mda mchache.


Outomatically ni #technical #failure kimchezo kushindwa kuwa na identity

Ni mtazamo tu
IMG_20191125_180903.jpeg
 
Aaron inshort arsenal haina kocha toka wenger aondoke huyu jamaa aliiharibu psg yenye kila aina ya wachezaji.know yupo kwetu ndo kaidimiza

naipenda arsenal sana tatizo huyu ZOMBIE UNAIIII
Njoo Chelsea ufurahie ushindi

Njoo uburudike ujue nini maana ya soka
 
Back
Top Bottom