Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,307
Huyu kocha nae ni sikio la kufa, nje una Lacazet na Pepe hufanyi sub ndani unawaacha wachovu kina Willock kweli!!lengo lao nikumfukuzisha kocha
Huyu kocha nae ni sikio la kufa, nje una Lacazet na Pepe hufanyi sub ndani unawaacha wachovu kina Willock kweli!!lengo lao nikumfukuzisha kocha
Hahahahahahahahah Yupo yupo sana tu.Huu jamaa ikiwa mpaka kesho hajafukuzwa basi tunatoboa nae mpaka January.
Acha kufananisha visivyofananishikaKama mliweza kumvumilia Mzee Wenger kwanini Unai mshindwe mvumilieni bana.
ukiachia mashabaki kufanya mgomo pia mashabiki wa frankfurt walipigwa ban kwa kutohudhuria match after crowd disturbances during their match against Vitoria Guimaraes last month.Washabiki naona nao wameanza mgomoView attachment 1275604
Sawa vizuri..Nipoooooooo

Soma hata picha basiJamani tusidanganyane hii timu yetu ni dhaifu, wachezaji ni legelege sana.