Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,307
Huyu mtoto Willock bado sana kuchezea timu kama Arsenal uwezo wake ni mdogo mno.
Sisi Frankfurt tunashinda mkuu.Naona Valencia wameshakuvuruga ubongo


DuhWametupiga la pili
Arsenal 1 - 2 Frankfurt
Hahaha uliuliza naangalia mpiraWametupiga la pili
Arsenal 1 - 2 Frankfurt
Huo ni mpangomkakati mzeePamoja na kocha Unai kuwa ana matatizo yake, Ila wachezaji wetu naona wapo lazy sana wanapooza mpira, wanapoteza pasi kizembe .Kama hawana cha kupoteza.
Sasa sijui haya nayo ni maelekezo ya kocha. Ukimtoa Auba/Xhaka/Tierney kwenye kikosi kilichoanza sidhani kama kuna aliyebaki ambaye ni mzuri kiviile.
Hiki kipindi cha pili wametuzidi mbinu, hapa hakuna kocha wala timu upuuzi mtupu.Hahaha uliuliza naangalia mpira
Niko apa..
Si ndio mkuu kama Frunkfart wanavotuvuruga saivi..Naona Valencia wameshakuvuruga ubongo
Mnaweza shinda mbona. Igeni mfano kwetuHiki kipindi cha pili wametuzidi mbinu, hapa hakuna kocha wala timu upuuzi mtupu.
Huna kazi ya kufanya mzee,Once a Gunner always a Gunner....
lengo lao nikumfukuzisha kochaKulikua na uwezekano wa kumaliza hii gemu mapema sana, tulipata nafasi nyingi za wazi ila hazikutumiwa ipasavyo, hapa napo tumlaumu kocha?