Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Nliwahi kumuuliza Aaron Arsenal, anaonaje kuhusu Sanllehi kufanya kazi na mawakala mfano George Mendes, au kipindi yupo sven as a head of recruitment, which is the best option?
Kwangu nliona sven alikuwa muhimu sana kuliko hata huyu sanllehi,huyu kinachombeba ni mahusiano yake mazuri na watu wengi wa mpira, ila sven ni ngumu kumeza, kivyovyote vile timu lazima iende tu,eti Emery katuondolea Sven Afu lenyewe bado lipo tu

.
The Golden eye.

.The Golden eye.