MIDFIELDERS WATU MUHIMU MNO KWENYE SOKA
Midfielders hawa ni sehemu muhimu mno kwenye team yeyote ile duniani viungo ndio hutengeneza patterns bora kimchezo kati ya backline na forward line
Viungo ndio muhimili wa team na flow yake kiuchezaji kwenye sifa zote kimchezo yani defending na offensive attributes
Lakini viungo wapo wengi wakigawanyika kwenye aina kuu mbili ambazo ni attacking midfielders na holding midfielders pia viungo wamegawanyika kulingans na nafasi positions kuna central midfielders na wide midfielders
Kwa kuzingatia hayo juu kuna viungo wafuatao
1.DM ( defensive midfielder)
Huyu ni kiungo ambae kazi yake kuu ni kupokonya mipira kwa lugha ya wenzetu ball winning player pia kulinda backline yake
2.BOX TO BOX
Hawa ni viungo ambao kimsingi wanacheza roles mbili kwa wakati mmoja au ni wachezaji wenye sifa zote kimchezo box fo box ni midfielders ambao team ikiwa na mpra usaidia kushambulia na ikipokonywa urudi chini kukaba
3.DEEP LYING PLAYMAKER
Huyu ni mchezaji ambae ni fundi kimsingi ana specialize zaidi na ball skills kuliko defensive ni viungo wenge vision maamuzi ya haraka wana open chanels za ushambuliaji
4.WINGER
Huyu ni kiungo mshambuliaji lakini anae tokea pembeni tunasema wide midfielders lengo kuu ni kusaidia ushambuliaji pitia pembeni mara nyingi utawakuta uko kwenye touch line wana pace ( kasi) dribbling skillis pass accuracy( usahihi wa pass zao) cross etc
5.KUNA ADVANCE PLAYMAKER
Hawa waitaliano wanawaita #register ni attacking midfielders ambao wapo very creative kutengeneza nafasi au kufunga kabisa na mara nyingine utumika kama second striker au deep lying striker wana vision passing ability kubwa na kadhalika
Hawa ni baadhi tu nafikiri tumepata picha kidogo ni kitu gani viungo wanahitaji kulingana na nafasi zao au majukumu
Nitaendelea wakati mwingine
View attachment 1274145