UNAI EMERY
kila mwanadamu ana muda wake wa kupitia zinazoitwa nyakati .kila anachokifanya kinaonenakana kama ana jenga ghorofa kw msingi wa mchanga.hakuna jema linaloonekana kuishi ktk shina la moyo wake.
Nyakati anazapotia Unai hakuna kwa sasa anayemwelewa,anayemwamini si mashabiki si wachezaji.Zaidi anaonekana ni mwanadamu anayezidi kuipoteza dira ya maisha ya Arsenal ndani ya epl.
arsenal ya wenger ilicheza mpira ilikuwa kama taswira ya Barselona ile ya master plan Pep.Timu ilikuwa inacheza soka maridadi la kuvutia pasi nyingi fupi fupi kutoka golini adi eneo la wapinzani,wachezaji wake walikuwa na vinasaba vinavyofanana si beki au kiungo pasi zilipigwa kwa ufundi.kuifunga Arsenal iliwezekana lakini kuizidi arsenal umiliki wa mpira ndani ya Emirates ulitakiwa kuja na wachezaji toka sayari nyingine.leo arsenal haitamaniki kuitizama kuna muda natamani mani city iwe arsenal ni ngumu kujua arsenal inataka nini ndani ya Epl
TATIZO UNAIIIIIIII FALSAFA ZAKE.ameshindwa kuijenga timu huu ni msimu 2 .kila siku arsenal inaonekana mpya.ingawa wachezeji wale wale
xhaka hatupo naye tena tmemutoa kafara kisa ushezi wa huyu mpuuzi
bellerin anaesifika kwa kasi ya jet.leo hana kasi teena
Oziliiiiiiii kocha haoni faida zakeee
Toreirra wa urugay si
Am sory my captain laurent uliona mbali ukaamua kusepa big up ulichukua maamuzi sahihi
wachezaji hakuna tena ile kupapambana wanacheza kwa sababu za noti pale Emirates
Emery ameamua kuishi hivi amegoma kubadilka.naziona siku zake zmebaki chache
OZILI"YOU ARE NOT ACOACH"