Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

HUYU MUHINDI ALIANZA KUFELI HAPA,HATAKI WATU WAKAFANYE SCOUTING YA TIMU PINZANI, ANATAKA AFANYE YEYE AKIWA GETO KAJIFUNGIA

Unai Emery cuts out live scouting of Arsenal's opposition teams in favour of watching videos himself [@MattHughesDM


Emery told the club during a review last summer that he prefers to watch games himself rather than read analysis compiled by others. The Spaniard spends hours watching recordings of Arsenal’s forthcoming opponents on his laptop [@MattHughesDM]


Some at the club are convinced Emery’s time would be better spent addressing the weaknesses in his own side. Other senior figures have argued that by relying on videos rather than eyewitness accounts, aspects of opponents’ strengths & weaknesses are being missed [@MattHughesDM]View attachment 1272897View attachment 1272898
Huyu kocha ni mbinafsi sana Kifikra, sio hilo hata kwenye usajili nasikia alikumbatia sana fikra zake kushirikiana na Sanllehi kuliko kumsikiliza mtalaamu Sven Mislintat aliyeletwa kwa kazi hiyo. Jamaa akaona wanataka kumpoteza katika maamuzi then akawaachia timu akatimka zake. Nimekuja kumuelewa huyu jamaa (Sven Mislintat) sasa hivi kuwa kufanya kazi na hawa watu labda uwe mpumbafu na ukalie akili zako.
 
Huyu kocha ni mbinafsi sana Kifikra, sio hilo hata kwenye usajili nasikia alikumbatia sana fikra zake kushirikiana na Sanllehi kuliko kumsikiliza mtalaamu Sven Mislintat aliyeletwa kwa kazi hiyo. Jamaa akaona wanataka kumpoteza katika maamuzi then akawaachia timu akatimka zake. Nimekuja kumuelewa huyu jamaa (Sven Mislintat) sasa hivi kuwa kufanya kazi na hawa watu labda uwe mpumbafu na ukalie akili zako.
Upo sahihi kabisa

Emery ni mbinafsi sana ndio maana sasa hivi anafeli , ndani ya bodi wengi hawamtaki anayemtetea ni Raul sanheil

Sven alimleta toreira kutibu tatizo la DM cha ajabu kampoteza toreira kwa kumpiga bench na kumchezesha kama attacking MD
 
Aisee mmiliki wenu wa timu atakuwa hapendi mpira, anaangalia faida tuu ya biashara, sidhani kama hata akiwa home anangalia match za Asernal kwenye tv.

Ingekuwa Abromovich aisee Unai tulishamsahau kama alishaifundisha Arsenal.
Bodi ya Arsenal kuna baadhi ndio wana wamepewa nguvu ndio hao wanamkumbatia emery wakiamini atabadilika

Ila majority walishamchoka

Mwenyekit wa Arsenal ametishia kujiudhuru muda wowote kama wataendelea kumkumbatia

Mwenye timu anaangalia faida wanataka emery ajiudhuru mwenyewe wasimpe fidia ambayo emery na bench lake watapata karibu £15m , kwahiyo wanacheza kamari kila siku wakiamini atabadilika wakati hadi WACHEZAJI wamemchoka .

Kocha gani hana mbinu za ushindi ,hana football identity , hajui kufanya team selection. , yeye ni mabifu na wachezaji tu .
 
Kwa hizi game, Unai asipotimuliwa naacha kushabikia mpira msimu huu
Screenshot_2019-11-26-15-22-10.jpeg
 
Emery ni mbinafsi sana ndio maana sasa hivi anafeli , ndani ya bodi wengi hawamtaki anayemtetea ni Raul sanheil .

Mmiliki wa timu anaangalia tuu uozo unaoendelea kwanini asitoe maagizo hatua zichukuliwe haraka?
Mmiliki wa timu kuna watu aliwaachia mamlaka toka alipondoka Wenger , hao watu ndio wanamkingia kifua emery

Japo hali inapoelekea watashindwa ,

Ilikuwa avumiliwe had x mass ,lkn number ya wanaotaka atimuliwe imeongezeka

Na mashabiki wamesema uwanjani hawaendi hadi emery afukuzwe
 
HUU NDIO MSINGI WA TUCHEZACHO TATIZO NI APPROACH NA SIO WACHEZAJI

Emery:" I think we did well in terms of defending, the idea was to avoid conceding more than two goals which we managed very well, going forward we needed at least three ,but we not far from the target, today is gone & the focus is for the next match"#AFC

Haya pengine tukaoneshwa vizuri ubovu wa wachezaji kama kocha anazungumza namna hii

Kwamba team iliingia na idea ya kucheza kutoruhusu goal zaidi ya mbili na wamefanikiwa ni upi msingi wa hii idea

Team imeingia mchezoni na defending #lmentality na ndio sababu kuchezesha beki 5 kama first approach kwa misingi hii

Kwanini southampton asipige &shots 21 langoni kwetu kwanini leno asionekane zaidi kuliko auba kwanini sokratis asifanye branda

Football inahitaji vision na msingi wa team kucheza mchezo mzuri ni build up yao au set up yao ilivyo

Tupo home tunaingia na mentality "not concede more than two goals"

kwa kauli hii inashibitisha wanachocheza wachezaji ndio walichofundishwa na kocha

Ok game kumi na moja za mwisho epl ushindi michezo 2 tu halafu utasikia auba mbovu utasikia wachezaji wabovu.,

leicester wameongeza wachezaji wangapi tangu brendan aje leicester ile iliyokuwa inakimbizana na #relegation zone utakosa jibu je wale wachezaji wamekuwa world class kwa sasa?

Huwezi tenganisha team approach tactics na kocha huu utakuwa sio mpira wa sayari hii.

SIJAWAHI KUONA KOCHA WA OVYO KAMA EMERY ,NA SIDHANI KAMA NITASHUHUDIA KOCHA WA OVYO KAMA EMERY
Mkuu nimekusaka sana kumbe umebadilisha avatar?
 
Arsenal are considering dismissing coach Unai Emery and replacing him with former Arsenal captain Mikel Arteta, current assistant coach at Manchester City, according to reports from the English press via Calciomercato.com today.

The reports detail how the Gunners’ management believe that Emery has lost support from both the fans and the dressing room, and if the club’s performances don’t begin to improve over the new few games, he will be dismissed. Therefore, the club have been looking for potential alternatives, from Massimiliano Allegri to Mauricio Pochettino, but now the top name appears to be Arteta.

The 37-year-old Spaniard, who played for the club for five years before retiring in 2016, has been Pep Guardiola’s assistant manager at Manchester City since 2016.

He has helped the club win two Premier League titles, an FA Cup and two EFL cups under the Spanish coach.

Furthermore, the report highlights, Guardiola himself has spoken positively about Arteta, saying recently: “Mikel is ready for the big jump.”
 
So if we lose our #EL game on Thursday we will still need 1 point away to Standard Liege ...so, lose on Thursday and Emery is sacked that night ?
 
Mislintat wanted to take #AFC back to its player-developing roots and discover talents with the potential to grow in the Arsenal shirt. Midfielder Lucas Torreira from Uruguay exemplifies this strategy.

Mislintat found Torreira thanks to a feature in his own software called 'Similar Players'. It follows the logic of Amazon's algorithm: "Clubs who like this player might also be interested in these ones.”

Eager to add more resilience to Arsenal's midfield, Mislintat checked players with a similar profile to the Frenchman N'Golo Kanté. The system proposed Sampdoria's Torreira.

“I knew him, and I had also noticed him doing well before.” Mislintat said.

Matteo Guendouzi, a signing from second division Lorient, for once, the energetic young midfielder's arrival had nothing to do with data analysis but instead came about courtesy of some old-fashioned scouting.

Mislintat saw in the 19-year-old qualities that cannot easily be measured in numbers: courage, strength of nerve, enthusiasm and leadership.


In his 14 months at Arsenal, Mislintat proved that his way of doing things worked in the Premier League. Raul Sanllehi, however, decided to put more trust in his network of agents. Mislintat saw this startling development as a signal.

His contract was then terminated mutually.
IMG_20191126_182334.jpeg
IMG_20191126_182733.jpeg
IMG_20191126_182741.jpeg
IMG_20191126_182714.jpeg
 
Mikel Arteta is keen to talk to the Arsenal board about possibly replacing Unai Emery at coach. Arsenal chiefs are also interested in speaking to Massimiliano Allegri, who has been out of work since stepping down at Juventus. (Times)
 
Lacazette is refusing to sign a new Arsenal deal as long as Emery is at the club. Talks are slightly further advanced with Aubameyang’s reps about a new deal, but he’s rumoured to be in the same boat as Lacazette. At this stage very few - if any - of the players support Emery.

Other senior players such as Bellerin, Ozil, Torreira and Luiz are all very much in the Emery out camp. Torreira in particular is considering leaving the club. Pepe feeling very disillusioned about lack of game time. Xhaka will be sold.
FB_IMG_1574686915110.jpeg
 
Nuno Espirito Santo has emerged as the leading candidate to replace Unai Emery, says to the bookmakers.

Espirito Santo leads the way among several bookies . As low as 7/4 on Sky Bet as of Tuesday afternoon.

3/1 (on Betfair and Paddy Power). 9/4 (on Ladbrokes and Coral). #afc
IMG_20191125_172247.jpeg
 
Extremely interesting situation.

Unai Emery was set to appear at @ucfb on November 29th to give a talk on management. It has been cancelled, the event has been removed from their website (although the page it was on is still there) and the tweets about it have been deleted. #AFC
IMG_20191126_200849.jpeg
 
Inawezekana game ya arsenal ya ueropa league ikawa ndio game ya kwanza kuwa na idadi ndogo ya watu kuwah kutokea kwenye uwanja wa emirates .

Mashabiki wa Arsenal wengi wamegoma kwenda uwanjan hadi hapo Unai emery atakapotimuliwa ,huku pia

Frankfurt wamefungiwa na UEFA kucheza na mashabiki katika mechi hiyo ikiwa ni moja wapo ya adhabu walizopewa.


Ukitazama hii picha eneo lenye rangi ya blue ni seat ambazo zitakuwa empty siku hiyo!
IMG_20191126_201158.jpeg
 
Confirmed: @UCFB has cancelled Unai Emery’s scheduled event due to a number of online hateful comments aimed at the head coach [@DanielBarratt23]
 
Back
Top Bottom