DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Sasa ndio nini????kwani Nottingham Forest,Villa ,Blackburn Rovers hawana hayo makombe????kwahiyo nazo zinapoongelewa timu kubwa England nazo zinahesabiwa??Chelsea amechukua PL ngapi? na lini?
Miaka 14 iliyopita umechukua PL?
Chelsea amechukua UCL?
Jipime kijana.
JIPIGEPIGE KIFUANI UKISEMA MIMI NI MPUMBAVU....
rudia rudia mara 10 kwa sauti.


