Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Arsene Wenger has been appointed as FIFA’s head of global football development
Unaongea kwakujifurahisha tu lakini ukweli unaujua vizuri kuhusu records yako kwa Chelsea,wewe kumbahatisha msimu huu kwako imekuwa habari ya mjini coz hukutegemea ndo maana umesheherekea sana hadi kuku wamesikia.Chelsea hamna ubavu wa kututambia sisi, kwenye EPL wake zetu wakudumu ni Arsenal na Chelsea.
Arsenal yeye huwa tunamnywea na mkuyati tunajipigia goli tunazotaka.
Hiyo jamaa Empty set kabisa.Kama mlivyompiga goli za kutosha pale trafford msimu huu....safi sana
Huyu Emery avumiliwe anayo record bora kabisa kuliko mwenye arsenal yake
Huyu kocha bora kabisa majungu tu ndio yanamtoa kwenye msitari kodogo tu!Na mwaka jana kidogo atupe eurpa![]()
Santi Cazorla: "I don’t know what my legacy is at Arsenal, you'd have to ask the fans, but I want to say thank you to them all. I'd like to play at the Emirates one last time before I retire."
Gunners.com on Twitter
Emiliano Martinez on liking that Emery out picture on Instagram: "Someone hacked my account over the past 24 hours but I’m back now."
Duh itabidi beki mmoja aanze kucheza kama DMF kuanzia akiondoka#Napoli are interested in Lucas #Torreira to replace #Allan. Pablo Betancur (Torreira’s agent) has told Arsenal that the player wants to leave the club in January, but #Sanllehi doesn't want to sell him and will held talks with him and his agent in the next days. #transfers #AFC
Jamaa ana kasirika anachezeshwa nafas sio yake na bado anapigwa benchDuh itabidi beki mmoja aanze kucheza kama DMF kuanzia akiondoka

| #AFC
Mkhitaryan: “Emery paid more attention to tactics, so my role changed.
Goal on Twitter