Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Happy birthday, Bouldy!

Steve Bould turns 57 today

First Division - 1988/89 and 1990/91
FA Cup - 1993 and 1998
Premier League - 1997/98
European Cup Winners' Cup - 1994
League Cup - 1993
FB_IMG_1573918100671.jpeg
 
#UKWELI UMUWEKA MTU HURU MAPENZI HAYASAIDII KUFICHA UKWELI

Binafsi naamini katika mambo kadhaa ili team ziweze kuwa kwenye ubora kwanzia mchezaji mmoja mmoja adi team nzima

Wachezaji uwa wapo aina mbili vipaji asilia( #natural #talented)na vipaji vya kutengenezwa ( &man #made #talented) licha ya kuwepo aina hizi mbili wote hawa kwa wenzetu huko uandaliwa #academy

Na kufanywa kuwa #developed kwa kile walicho nacho ndio maana kwa wenzetu ni sheria( legal) team kuwa na team za vijana ok

Je nini tafsiri ya nilichozungumza juu uko ni kwamba kocha ana nafasi kubwa tu kumfanya mchezaji kuwa bora zaidi. academy mfano la masia au castilla awachezi tu bali wana wakufunzi wa kuwasaidia kuwa bora

Vivyo hvyo ata senior team ili mchezaji awe bora hawezi kujitegemea yeye tu bali kuzingatia ni kipi anaelezwa na mkufunzi wake

Unaposema #tactics au #philosophy hizi zinajengwa kulingana na uwezo wa mchezaji ulivyo na hii inamfanya afanikiwe zaidi

Sasa nashindwa kuelewa mtu anaposema wachezaji wa arsenal ni wabovu ila kocha ni bora haya ni maajabu

Jukumu la kocha sio kupanga tu wachezaji bali kuwafanya kuwa bora zaidi ndani ya mifumo yake kiuchezaji hvyo wachezaji wanakuwa developed chini ya kocha na sio wao wenyewe

Je mifumo iliyopo arsenal imedevelop nani kama wachezaji wako underperformances tatizo linaanza kwa mkufunzi ni effort gani kaweka kuwafanya kuwa bora

Leo hii ukizungumzia mane huyu basi kawa developed zaidi chini ya klopp unapozungumza historia ya ronaldo basi uwezi acha mtaja fergason yeye mwenyewe anamuita baba

Kama kocha hana nafasi kukuza kiwango ata academy hazina maana watu watoke tu kitaa waje kucheza kwa vile wanaweza

Mpra una njia zake mpra ni science na sio politics una formular

Aaron
 
Pablo Bentancur (Wakala wa Torreira) “Ancelotti alijaribu kumpeleka Napoli. Arsenal, ilikua chaguo lake kwa sababu mpira wao unaendana na uchezaji wake, anaendelea vizuri lakini kubadilishiwa majukumu hakumfurahishi, inasemekana timu nzima haiko vizuri. "

#coyg
arsenal_bongo-20191116-0001.jpeg
 
Henrikh Mkhitaryan:

“Emery alizingatia sana mbinu zake(kuliko uwezo binafsi) ndiyo maana majukumu yangu yalibadilika. Nilianza kama winga lakini nilitakiwa kutengeneza mashabulizi na Kiungo mkabaji. Ndiyo maana sikuwa na mchango kwenye pasi za mwisho na mabao. Napenda kucheza huru lakini inabidi ufanye kazi kocha anavyo taka. "

#coyg
arsenal_bongo-20191116-0002.jpeg
 
Weka CV yako

Nisije poteza muda wangu kukujibu
CV kwani kuna ajira hapa?nyie majitu ya Arsenane mupo kama mazombi.....yaani hamna tofauti na lidume lililopigwa limnwata yaani mtimu hauna hata mafanikio nyie mupo tu.....magonjwa mengine ya kujitakia kabisa
 
Back
Top Bottom