Wachezaji wazuri kwa mantiki ipi? wana vipaji vya hali ya juu? Wana uzoefu wa kutosha?

Hujui unachokisimamia.
Laurent Branc pale PSG kwani hakuchukua hizo ligue 1 ?? sasa yeye alifanya nini kuonesha ni Upgrade ya brac baada ya kupewa kazi pale?? Au na PSG hawakuwa na best players??
Wenger kafukuzwa Arsenal kwasababu ipi ?...yeye unai kafanya nini kuonesha utofauti wake na Wenger?
Europa hata kocha aliyekuwa kilaza wa mafanikio sarri kabebatena mbele yake.Eti alimfunga klopp??
si amfunge na sasa hivi
![]()
I second this. Tuna wachezaji wazuri sana ukilinganisha na wakati wa Wenger, lakini ndio hamna kitu.
Board ya arsenal ni kichefu chefu kwakweli na kwa style hii sielewi kwanini walimtimua mzee Wenger, heri wangemuacha babu ila wangemuongezea wachezaji wa kazi tu.Wakuu wa Gunners naona maoni tofauti tofauti yanamiminika.
Jana mimi pia nilikuwa Leicester kushuhudia Arsenal ikiwadhibiti Leicester na kweli hadi mapumziko mambo yalikuwa 0-0.
Mambo yakaanza kuharibika kipindi cha pili ni makosa ya kiufundi.
Bodi ya Arsenal yote jana ilikuwepo uwanjani King Power kushuhudia kama ni kweli Arsenal imeshuka kiwango ambacho kinatarajiwa kutoka kwenye hii timu.
Baada ya kushuhudia Arsenal ikicheza vile kipindi cha kwanza na baadae kufungwa, bodi imeamua imuachie Unai Emery aendelee hadi mwisho wa msimu.
Bodi ya Arsenal imeridhika na viwango vya uchezaji wa timu yetu ingawa lolote laweza kubadilika khasa iikiwa baada ya Xmas tupo nafasi ya 7.
Kweli uchawi upo, yani huyu Unai ni wa kumuacha hadi X-mass kweli?Board ya arsenal ni kichefu chefu kwakweli na kwa style hii sielewi kwanini walimtimua mzee Wenger, heri wangemuacha babu ila wangemuongezea wachezaji wa kazi tu. View attachment 1259662
Hilo ungemuuliza bwana ako ingependeza zaidiKwani malengo ya Arsenal ni yapi tofauti na kushiriki league tu ?![]()

Nikikutana na taarifa kama hizi za kumwamini Emery nazidi kuchukia soka.Wakuu wa Gunners naona maoni tofauti tofauti yanamiminika.
Jana mimi pia nilikuwa Leicester kushuhudia Arsenal ikiwadhibiti Leicester na kweli hadi mapumziko mambo yalikuwa 0-0.
Mambo yakaanza kuharibika kipindi cha pili ni makosa ya kiufundi.
Bodi ya Arsenal yote jana ilikuwepo uwanjani King Power kushuhudia kama ni kweli Arsenal imeshuka kiwango ambacho kinatarajiwa kutoka kwenye hii timu.
Baada ya kushuhudia Arsenal ikicheza vile kipindi cha kwanza na baadae kufungwa, bodi imeamua imuachie Unai Emery aendelee hadi mwisho wa msimu.
Bodi ya Arsenal imeridhika na viwango vya uchezaji wa timu yetu ingawa lolote laweza kubadilika khasa iikiwa baada ya Xmas tupo nafasi ya 7.
Mshkaji hii picha kila mara unaileta humu kwa nini?Tuachie Patel wetu View attachment 1259710
Una umri gani?Kwanza Emery anajitahidi sana kwa squad yao
Sio wa kuwajibu hao mkuu,unapoteza mudaKwa taarifa yako yule mzee kashindwa kupanga kikosi
Ukilinganisha na misimu miwili nyuma au mitatu kwa sasa arsenal ina kikosi kizuri sana
Tena ina kikosi cha ushindani shinda ni technical za mwalimu
Kingine ukiachana na liverpool na man city hakuna timu nyingine yenye forward kama arsenal.
Umeandika ujinga wa kufungia wiki....Kwanza sisi mashabiki wa team nyingine tunampenda Unai hana tatizo kabisa ,watu walilialia Ozil acheze akamchezesha wakafungwa kabisa ,mashabiki wa arsenal wanampa wakati mgumu kocha bora kabisa Europa 3,ligue 1 kibao ....
Whaaaaaaaaaaaatttttt???????????!!!!!!!!!!Wakuu wa Gunners naona maoni tofauti tofauti yanamiminika.
Jana mimi pia nilikuwa Leicester kushuhudia Arsenal ikiwadhibiti Leicester na kweli hadi mapumziko mambo yalikuwa 0-0.
Mambo yakaanza kuharibika kipindi cha pili ni makosa ya kiufundi.
Bodi ya Arsenal yote jana ilikuwepo uwanjani King Power kushuhudia kama ni kweli Arsenal imeshuka kiwango ambacho kinatarajiwa kutoka kwenye hii timu.
Baada ya kushuhudia Arsenal ikicheza vile kipindi cha kwanza na baadae kufungwa, bodi imeamua imuachie Unai Emery aendelee hadi mwisho wa msimu.
Bodi ya Arsenal imeridhika na viwango vya uchezaji wa timu yetu ingawa lolote laweza kubadilika khasa iikiwa baada ya Xmas tupo nafasi ya 7.
Kwanza Emery anajitahidi sana kwa squad yao