Sisi sio wa kulilia big4 kijana ,sisi sio timu ndogo kama chelseaSisi The gunners HALISI tuko na Unai kuna watu humu wamevamia jukwaa letu wakimtuhumu kocha wetu ambaye mwaka jana kidogo tu atupeleke top four,mtuache na team yetu "once a gunner always ......
Wewe ni mamluki sio Shabiki damu wa ArsenalSisi The gunners HALISI tuko na Unai kuna watu humu wamevamia jukwaa letu wakimtuhumu kocha wetu ambaye mwaka jana kidogo tu atupeleke top four,mtuache na team yetu "once a gunner always ......
point yako ni nini haswa?!Akili za wazungu London na weusi Africa zinatofautiana sana, mitazamo fofauti.
Hakuna shabiki wa damu Tanzania, ulisha sikia mshabiki wa Arsenal kajiua Tanzania?Mimi na wewe ni mashabiki lakini sio wa damu,Tuko nyuma ya Unai ,apewe mdaWewe ni mamluki sio Shabiki damu wa Arsenal
Sisi The gunners HALISI tuko na Unai kuna watu humu wamevamia jukwaa letu wakimtuhumu kocha wetu ambaye mwaka jana kidogo tu atupeleke top four,mtuache na team yetu "once a gunner always ......
Unapaniki paniki nini? Utapata vidonda vya tumbo vikupelekee na shinikizo damu ,iga kwa washabiki wenzio utakufa team iko pale pale na inaendelea kuvurundaWewe ni MPUMBAVU
Lilikuwa kombe lenu enzi za mzee ....Sisi sio wa kulilia big4 kijana ,sisi sio timu ndogo kama chelsea
Mkuu jaribu kuibadilisha labda utaweza.Dah
Arsenal haibadilikagi kabisa
Unapaniki paniki nini? Utapata vidonda vya tumbo vikupelekee na shinikizo damu ,iga kwa washabiki wenzio utakufa team iko pale pale na inaendelea kuvurunda
