Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yes ....

Sadly he’s still the Manager of Arsenal but I am “noise” and proud. #IStandWithNoise #afc #arsenal
 
KIKAO WALICHOKAA WAMEKUJA NA HUU UPUMBAVU

#Arsenal statement on Emery.
IMG_20191111_191748.jpeg
 
Badala waje na Mambo ya maana wamekuja na Ujinga

UK fans wamesema wataenda uwanjan wao

Today Raul Sanllehi and Vinai Venkatesham met more than 200 staff in a pre-planned event.

This is what they told them
IMG_20191111_190526.jpeg
 
Sisi sio wa kulilia big4 kijana ,sisi sio timu ndogo kama chelsea
Chelsea amechukua PL ngapi? na lini?

Miaka 14 iliyopita umechukua PL?

Chelsea amechukua UCL?
Jipime kijana.
 
Sisi sio wa kulilia big4 kijana ,sisi sio timu ndogo kama chelsea
Pumbavu sana unaukubwa gani wewe labda ukubwa wa matatizo mlionayo kwenye litimu lenu,lakini hongereni kwakubakia kwenye top ten ya msimamo wa Epl.
 
This says enough to suggest that although Emery has the club's backing for now, that results can't continue the way they are for long.

A classic vote of confidence

The run up to Christmas vital for Emery.
 
Sisi The gunners HALISI tuko na Unai kuna watu humu wamevamia jukwaa letu wakimtuhumu kocha wetu ambaye mwaka jana kidogo tu atupeleke top four,mtuache na team yetu "once a gunner always ......
Na mwaka jana kidogo atupe eurpa
 
Aaron Arsenal, Mechi sita ziwaje?? ashinde zote au aturudishe Top 4, au afanye kitu gani kwenye hizo mechi 6.
Hizo apigwe tu

Hakuna kocha hapo

Hizo mech 6 hashind wachezaji kwanza wengi hawamtaki

Hana tactical za kushinda hizo mechi

Kama wameshindwa kumtimua sasa hivi kukwepa gharama ,basi Wasubiri timu ipotee hadi msimu ujao

Tatizo wanacheza kamari kwa kocha wa ovyo kama emery haijulikan hata anafundisha nini
 
@Aroon Arsenal, nliwahi kukwanbia Raul ndio mwenye funguo ya Emery, huyu ndio mwenye ushawishi wote wakumtetea Emery, wewe jiulize juzi alikuwa King power na yule Edu, eti wanasema timu ilicheza vizuri waliridhishwa.
 
Aaron Arsenal, Mechi sita ziwaje?? ashinde zote au aturudishe Top 4, au afanye kitu gani kwenye hizo mechi 6.
Wala usipate taabu

Hizi mechi hatoboi

Arsenal's next 5 PL fixtures:

Southampton (H)
Norwich (A)
Brighton (H)
West Ham (A)
Man City (H)

Huyu Kocha nilishasema humu hafai kufundisha mpira maana ana matatizo makubwa karibu manne ambayo hawezi kutoboa hapo Arsenal

1.Ana poor tactic

2.Ana poor team selection

3.Ana panga wachezaji wengi out of natural position

4.Hajui ni wakati gani wakumtoa mtu na kufanya sub sahihi

5.Ni mbahatishaji mkubwa , mpaka sasa ameshatumia kila mech na mfumo wake

Hadi mechi na Liverpool klopp alimshangaa

KUFUKUZWA SASA HIVI LAZIMA KLABU £10-15M ZIWATOKE , HIVO WANACHEZA KAMARI TU LABDA ATABAHATISHA ATAINGIA TOP 4 ,NDIO WAMTIMUE

WAMEPIGA HESABU WAKIMTIMUA NA KULETA KOCHA MPYA SASA HIVI KARIBI £30M ITAWATOKA ,
 
Namkubali yule boss wa MAN U, hanaga ujinga wa kumchelewesha mpumbafu, Mourinho alivyopigwa Anfield walilizoom na hasira km zote, yaani asubuhi tu Mourinho akapewa virago vyake.
 
@Aroon Arsenal, nliwahi kukwanbia Raul ndio mwenye funguo ya Emery, huyu ndio mwenye ushawishi wote wakumtetea Emery, wewe jiulize juzi alikuwa King power na yule Edu, eti wanasema timu ilicheza vizuri waliridhishwa.
Waache wamtetee

Mashabiki UK wameshawaambia wasitarajie uwanja kujaa kama wanaendelea kumkumbatia

Taarifa kutoka kwa Charles Watt inasema Ndan ya bodi wanaomtetea ni Wengi kuliko wanaomkataa , na wengi wanasema aangaliwe hadi X MASS ,

So acha tuone itakuwaje
 
Namkubali yule boss wa MAN U, hanaga ujinga wa kumchelewesha mpumbafu, Mourinho alivyopigwa Anfield walilizoom na hasira km zote, yaani asubuhi tu Mourinho akapewa virago vyake.
Walipigwa sana kabla ya kumtimua

Watu walio serious kwenye kufukuza makocha ni Chelsea na Madrid

Hata baryen Leo mzee Ulli hoaness Amesema wachezaji walisema hawamtaki Nico kovac , Wao wakamtimua
 
Waache wamtetee

Mashabiki UK wameshawaambia wasitarajie uwanja kujaa kama wanaendelea kumkumbatia

Taarifa kutoka kwa Charles Watt inasema Ndan ya bodi wanaomtetea ni Wengi kuliko wanaomkataa , na wengi wanasema aangaliwe hadi X MASS ,

So acha tuone itakuwaje
Mimi nlivyosikia paka Xmass kwanza nilifurahi, najua hawezi toboa hata wampe paka january,wewe kwenye last 17 games kashinda sijui 4,

Natamani kama tungekuwa tunaenda kwa Soton away next match, thn next stop kwa West ham away, mbona wangemtimua kwenye hizo game mbili tu.
 
Huyo inajulikana hawez toboa

Hapo Wamebania hela kumpa za kumtimua

Hivo wameamua kucheza kamari

Raul Sanllehi and managing director Vinai Venkatesham both agree Emery is not at the level we want or expect but he keeps his job ...

Inasemekana Baba mtu kagoma kutoa hela katikati ya msimu , labda itokee amepotea sana ila Raul na vinai nao pia hawana iman na Emery
 
Gooners Let give unai more time to prove himself, uzuri bodi imejifunga yenyewe, si wamesema paka December kama hana progress anafutwa kazi.Hii ishu ya Unai ni nyepesi sn, sio km Wenger hatukuwa na Uhakika ataondoka lini.

Hafai kupewa muda

Imagine mpaka leo ha first 11 kwa wachezaji wale alionao arsenali.
 
Chelsea amechukua PL ngapi? na lini?

Miaka 14 iliyopita umechukua PL?

Chelsea amechukua UCL?
Jipime kijana.

Liverpool haijachukua EPL miaka 29 iliyopita. Ni timu ndogo kwa Chelsea?

Nottingham Forest ana UEFA 2 ni kubwa kwa Chelsea?

Kabla ya miaka 14 nyuma Chelsea ilikuwa wapi? Haijaanzishwa?

Mnapenda mada za kijinga.
 
Waache wamtetee

Mashabiki UK wameshawaambia wasitarajie uwanja kujaa kama wanaendelea kumkumbatia

Taarifa kutoka kwa Charles Watt inasema Ndan ya bodi wanaomtetea ni Wengi kuliko wanaomkataa , na wengi wanasema aangaliwe hadi X MASS ,

So acha tuone itakuwaje
Mkuu kwa kawaida kocha yeyote ana backup ya Bodi bila hata kutoa statement kama ilivyofanyika kwa Arsenal. Otherwise iwe tofauti.

Inaonekana kuna msuguano baina ya Viongozi nyuma ya pazia. Unai hana muda mrefu sana atatimuliwa, ila inaonekana bodi haitaki kufanya maamuzi kwa kuonekana imeshinikizwa.

All in all hakuna jipya Unai atafanya hata apewe miezi 30
 
Back
Top Bottom