Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pigaaa Mbwa hawaaaaaaaa
Screenshot_20191109-220449_All%20Goals.jpeg
 
Arsenal nilisema kwenye hizi game zenu mbili Wolves na Leicester mtaambulia point moja tu, ndiyo hii mmeipata leo, next game na Leicester mnakufa
Nyie sio watu wazuri kabisa.....
Ngoja tarehe 9 saa 5 kama unai atakuwa kwenye benchi la Arsenal naapa narudia tutarudi humu kuandika kulalamika na matusi juu
 
Back
Top Bottom