Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165
Pole mkuuHabarin humu ,nimerejea nimepata nafuu nashukuruni kwa wote walionitakia kheri
Pole mkuuHabarin humu ,nimerejea nimepata nafuu nashukuruni kwa wote walionitakia kheri
Asante Southern HighlandPole mkuu
Wachovu wa hali, wafirisika kifikra na kimuonekano. Mlianza kwa mbwembwe nyingi sa ivi chali hamna kitu.
Sisi pia hatukuandika barua kuomba maneno yao ya kejeli mwanzo wa msimu. Hakuna fans waliokuwa wanaona wame win mwanzo wa msimu kama hawa jamaa. Walijisahaulsha matatizo yaoAcheni kuwanyanyasa wenzenu! Hawakuandika barua kuomba hizi shida
Lazima ufungwe mzee. Huna uwezo wa kudraw na Brendan wewe. Pumzi kwishaGame yetu leo naiona draw kama kawaida.
Hii hali itapita tu , wewe piga kelele humu ,Sisi pia hatukuandika barua kuomba maneno yao ya kejeli mwanzo wa msimu. Hakuna fans waliokuwa wanaona wame win mwanzo wa msimu kama hawa jamaa. Walijisahaulsha matatizo yao
Game yetu leo naiona draw kama kawaida.
Asante ni ya muda tu , tunaombea tupoteze Wikiend huenda Bodi ikafanya jambo kutuondolea huyu kocha Asiyejua kufundisha
Matokeo yoyote ya Arsenal na Leicester yatamnufaisha Chelsea. Mkishinda tunatinga top 3. Mkifungwa ndo top four kwisha kabisa
Hiki kikosi ni official au mapenzi yako?1. Leno
2. Kolasinac
3. Luis
4. Sokratis
5. Bellerin
6. Matteo
7. Torreira
8. Auba
9. Ozil
10. Pepe
11. Laca
kikosi cha leo
Hahaha leo tuwaunge mkono wanipigie Leicester ...japo naona hata draw awapati ...Shida ya arsenal si team ya mtu mmoja ni team ya watu wengi kwahiyo hadi wakae vikao ndo waamue
Na wakati huo wanawaza tukivunja mkataba na huyu kocha tutapata wapi pesa za kumlipa? Wakati siye wenyewe masikin wa kutupwa
Lakin kwetu Chelsea Roman akiamka tu kama kocha anazingua anamtupia mabeg yake anasepa na pesa analipwa
Hakuna sijui cha upuuz wa bod kuket sijui wanakunywa juice ya miwa





Hesabu ya malipo ya Pepe bado inawasumbua kichwa ...Wachovu wa hali, wafirisika kifikra na kimuonekano. Mlianza kwa mbwembwe nyingi sa ivi chali hamna kitu.


Kila msimu unapoanza Mara nyingi Arsenal huwa wanaona wamewin..Sisi pia hatukuandika barua kuomba maneno yao ya kejeli mwanzo wa msimu. Hakuna fans waliokuwa wanaona wame win mwanzo wa msimu kama hawa jamaa. Walijisahaulsha matatizo yao